Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

😎 Kama ningetoa ushauri mmoja kwa watu wa miaka ya 20 ambao wanataka kujenga kitu kikubwa, ingekuwa: "Usinywe pombe kamwe." Sijanywa pombe kwa karibu miaka 5, lakini nimewaona watu wengi wenye...
8 Reactions
21 Replies
945 Views
- Mamtu mkeka ukitiki tu utaenjoy mamtu 😁😁 - mamtu beba mimba nitalea mwanzo mwisho 😀😀😀 hasa wee kama una kizazi cha majaribio jichanganye🫰 Aiseee utalia kuliko huyo mtoto atakaye zaliwa😃😂😂 -...
2 Reactions
6 Replies
433 Views
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), kuwa kiwanja cha ndege cha Shinyanga kitakamilika mwezi juni mwaka huu...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetoa tangazo kuhusu watu...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Africa, Africa, Africa acha kupoteza mamilioni ya shilingi kufanya huu ushirikina kwa mababu wa wenzako huko Israel, Makka na Madina. Nenda kahiji kwa babu yako kijijini kwenu. Au acha kabisa...
4 Reactions
10 Replies
562 Views
Shirika la Lifewater International Tanzania limetekeleza mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika Kijiji cha Bugogo, Kata ya Mwamala, wilayani Shinyanga, hatua inayowaondolea wananchi wa...
1 Reactions
2 Replies
292 Views
JUMLA ya leseni 1356 zimetolewa katika halmashauri tatu za Mkoa wa Kimadini Kahama ambazo ni Ushetu, Msalala na Kahama huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo...
1 Reactions
1 Replies
498 Views
Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware. Japo...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
📖Mhadhara wa 22: Ni kama zimeanza kujengeka fikra na hisia mbaya za kudhani kwamba kuwa SINGLE MOTHER ni kufeli maisha, au ni maumivu makubwa kuliko maumivu mengine yoyote hapa duniani. Kama una...
1 Reactions
3 Replies
627 Views
Wakuu mambo si mambo.. Watu na wadau wakubwa wa mtandao wa X zamani Twitter, tumepata shambulizi ambalo hata Elon Musk anakiri hajawahi kupata ama kuona shambulizi kubwa kama Hilo la kimtandao...
18 Reactions
58 Replies
3K Views
Katika maisha ... Mafanikio yako yasikufanye kudharau watu wasionacho na umasikini wako usikufanye kuwajengea chuki na wivu waliofanikiwa . Ukiona mtu anadharau kwa watu wenye hali ya chini ujue...
7 Reactions
6 Replies
393 Views
Mhadhiri wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo amesema suala la wahitimu kuambiwa kwenda kusoma mafunzo ya ufundi stadi (Veta), ni kama zima moto ya kutatua...
2 Reactions
5 Replies
572 Views
RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi...
0 Reactions
4 Replies
473 Views
Wanajeshi wa kikosi maalum cha wanamaji kuitoka jeshi la China na JWTZ (NAVY COMMAND), wakionyesha matumizi ya mikono dhidi ya adui, wakati wa uzinduzi wa mazoezi ya kijeshi ya pamoja kati ya...
3 Reactions
227 Replies
83K Views
Huwa nashangaa Sana MTU akisema Binadamu Ana akili Sana kuliko wanyama wa kawaida hii hapana Human being is toxic creature. Binadamu alibidi kuishi kwa Upendo na kuyatawala mazingira na sio Kama...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Wanaume tunapitia changamoto nyingi kama ilivyoandikwa, tutakula kwa jasho. Mwanaume anapambana ili kuitunza familia yake, analipa...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Afrika Kusini umekuwa ukizorota baada ya rais Donald Trump kusitisha msaada kwa nchi hiyo, akielezea kutoridhika na serikali ya Afrika Kusini kupitisha...
1 Reactions
1 Replies
429 Views
Habari za leo rafiki yangu? Karibu kwenye makala yetu ya ambapo tunakwenda kushirikishana yale muhimu kwa maisha bora, yenye furaha na mafanikio makubwa. Leo nimewaandikia barua wazazi wote...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Tumeona mada nyingi ambazo watu wakieleza au kupitia kuhusu jinsi maisha ya utafutaji kuwa ya mekwenda ndivyo sivyo,kukosa ajira,kushindwa kuoa au kuolewa n.k. Hii bullying niliyotaja kwenye...
4 Reactions
2 Replies
329 Views
Back
Top Bottom