Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MHADHARA (104)✍️ 1. Utaondoka nyumbani mweupe kwenda kutafuta, utarudi nyumbani ukiwa mweupe. Lakini usiwe mwisho wa kuendelea kupambana. 2. Biashara utakayoianzisha itayumba, au kufa kabisa...
16 Reactions
16 Replies
775 Views
Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani Maandiko Yanasemaje 1. Katika Wakolosai 3:20, maandiko yanasema: "Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu. Hongereni kwa kazi. Na mnaopumzika, hongereni kwa mapumziko. Haya, twende kwenye mada. Mambo mengi yanayotokea nyakati hizi duniani, yalitabiriwa na manabii wa Mungu miaka...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Miaka elf moja kwa Mungu ni sawa na siku moja. Tunaweza dhani ni miaka mingi sana imepita toka Yesu aondoke duniani kumbe kwa Mungu ni sawa na siku mbili tu.
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Neno Yesu na neno Kristo Inamaanisha Nini Neno Yesu YESU ni jina la kiuanadamu la Bwana, alilopewa na Mariamu na malaika Gabrieli (Luka 1:31). “Yesu” maana yake ni “Mungu anaokoa”. Hili ndilo...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Mhubiri wa kimataifa, Nabii Mkuu Prophet Shepherd Bushiri anayeongoza Kanisa la Enlighted Christian Gathering (ECG) la Afrika Kusini, ametabiri maajabu yatakayoishangaza dunia katika miaka saba...
13 Reactions
195 Replies
27K Views
Mchungaji huyo alitabiroi kuwa Lowassa atafariki dunia na Uchumi wa Tanzania utakuwa na hali mbaya miaka ijayo, Gwajima amempelekea ujumbe akimtaka akae kimya upesi
2 Reactions
28 Replies
8K Views
Naombeni polisi msilifumbie macho jambo hili linazidi kuota mizizi na hatari Kwa nchi na vizazi vijavyo, Suguye anatangaza watu wapeleke kucha. Nywele za karibu na sikio la kulia kucha za vidole...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Great thinkers. África Kwa uchawi tunatisha. Inasemekana 90% ya waafrica wanaaami katika uchawi na huwa wanaenda Kwa waganga mambo yakienda kombo. Mikoa ifuatayo nahisi Hakuna wachawi wengi hapa...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Katika kipindi hiki muhimu cha Kwaresma kwa Wakristo na Ramadhan kwa Waislam, tunapoadhimisha nyakati hizi takatifu za toba, tafakuri, na kujitakasa, ni vema tukatafakari nafasi yetu kama jamii...
2 Reactions
1 Replies
442 Views
Mambo vp wadau? Kwanini "Telecom Companies" hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida? Kwanini ujumbe au tangazo ambalo lingewezekana kutumwa kwa njia ya sms ya kawaida linatumwa kwa njia ya...
1 Reactions
10 Replies
627 Views
Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu. Msiba uko nyumbani kwake...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za usiku wakuu, Nimetoka kazini jioni ya leo Saa kumi na mbili hivi jioni nimelala nimeamka sasa hivi ati nimeota best friend wangu wa pekee niliyewahi kuwa nae aliyefariki miaka zaidi ya...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kupitia luninga ya Taifa TBC 1 limeanzisha kipindi kipya Kiitwacho “MADA KUU”. Ni kipindi kinachohusu mijadala moto moto kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Natafuta kitu ambacho hakina kasoro hapa duniani, kitu kikamilifu kwa 100% kitu ambacho huwezi kukuta mawaa ndani yake. Nimeangalia kama dini, zote zinamapungufu ndani yake. Kama ni elimu zote...
23 Reactions
455 Replies
15K Views
Jamani, yaani huku Buza Tangu usiku Saa Kumi umeme unakata, sekunde unarejea sekunde unakata. Hivi nyie Tanesco, kama mnakata umeme, si mkate tu ijulikane??? Mambo ya kukata umeme dakika moja...
0 Reactions
14 Replies
934 Views
Nimekuwa nikiitafakari sana hii adhabu ya viboko mashuleni kila ninapoona taarifa ya mwanafunzi kuumizwa na mwalimu kichukuliwa hatua kwa kumuumiza mwanafunzi Ni wazi kwamba kuna wagonjwa wengi...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
1.Ukifanya harusi bila kuchangisha mtu kosa rafiki zako watakasirika na wengine hawatakuja hata kama umeamua kugharamia mwenyewe kila kitu. 2.Watu wanachanga harusi budget kubwa inakuwa kwenye...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom