"Mamtu tunafanyaje sasa Mamtu" hahahaha watoto wa 2000 bhana

Luis 505

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2025
Posts
676
Reaction score
948
1742441760042_1.jpg

- Mamtu mkeka ukitiki tu utaenjoy mamtu 😁😁

- mamtu beba mimba nitalea mwanzo mwisho 😀😀😀 hasa wee kama una kizazi cha majaribio jichanganye🫰 Aiseee utalia kuliko huyo mtoto atakaye zaliwa😃😂😂

- Mamtu beba tu mimba tuna nyumba ya urithi Ya bi mkubwa vingunguti kwahiyo usiofu wala nini.

- Mamtu Nina ngoma mbili nkifika wasafi natoboa mamtu.

- Iyo chips yai isikauke sanaa tomato nyingi ikiwa tayali nambie nimcheki boda wangu aifate
 
View attachment 3277104

Soksi ya kampuni kubwa,yeboyebo Sasa!
 
Back
Top Bottom