Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ughonile watu wa Mbeya, nipo Njombe (zamani ikiwa shemu ya Iringa) nimekuwa nikistuka kwa visa vya mara kwa mara kwa vijana wa Mbeya kujiua. Kunakoelea sio, ni muda wa kujadili shida ilipo ipate...
3 Reactions
9 Replies
665 Views
Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba. Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID, kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per...
66 Reactions
172 Replies
9K Views
Inashangaza kuona stendi zote zilizojengwa awamu ya 5 zimegeuka kuwa magofu. Kuanzia Chato Hadi Sumbawanga, Magufuli-Mbezi Hadi Dodoma ,stendi zilizogharimu mabilioni Sasa wateja wamezikimbia na...
14 Reactions
164 Replies
6K Views
Paul Getty who is billionare ( egual to 1000 millionares) says that: The secret of Success is just two words TRY HARDER! The greater your difficulties,the harder you need to try to overcome...
4 Reactions
7 Replies
509 Views
Kuhusu Waziri Mkuu kusema kuwa vijana wenye degree waende VETA ili wapate elimu za ufundi stadium ili kukidhi soko la ajira Waziri Mkuu kitaaluma ni mwalimu na amewahi kuwa kiongozi wa Chama cha...
2 Reactions
2 Replies
280 Views
Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
14 Reactions
92 Replies
8K Views
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro linamsaka dereva wa Lori la kusafirisha mafuta anayetambulika kama Abubakari Adam Mwichangwe, mkazi wa Dar Es Salaam kwa kosa la kula njama ya kuharibu gari na...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao (online) kuanzia usiku wa manane kuamkia leo Machi 19, 2025. Hata hivyo licha ya...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu ya msingi lazima ijikamilishe akimaanisha kuwa mwanafunzi akimaliza pale lazima awe na ujuzi unaotakiwa. Pia alisema elimu ya sekondari isiwe bomba la kupitishia...
4 Reactions
3 Replies
409 Views
Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa...
7 Reactions
91 Replies
5K Views
Wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo. Yule daktari...
23 Reactions
85 Replies
4K Views
Chama Cha Walimu Wastaafu wilayani Mlandizi mkoani Pwani wamewahimiza wastaafu wenzao wastaafu wengine kutembelea vivutio vya utalii ikiwa ni sehemu ya kupongeza jitihada za kukuza utalii nchini...
1 Reactions
4 Replies
321 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Wok58GcHwLs Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa...
4 Reactions
7 Replies
814 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya ujenzi wa Daraja la Mbambe lenye urefu wa mita 81 ili likamilike...
1 Reactions
2 Replies
376 Views
Baadhi ya Taasisi za Serikali zilizopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro ikiwemo Jeshi la Polisi Hai, Shule ya Sekondari Hai Day zimetajwa kuwa na deni sugu la bili za maji inayofikia Zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
📖Mhadhara (63)✍️ Nyumba za kupanga (hasa zile ambazo zina wapangaji wengi) zina kero mbalimbali. Hebu tiririka kero mojawapo kwenye nyumba za kupanga - Natiririsha baadhi ya kero. 🔘 KERO 1: Kuna...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Hassan Bomboko ameeleza kuwa huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama katika wilaya hiyo imeaimarika kwakiasi kikubwa katika kipindi cha miaka mine ya...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Najua hawezi Kuguswa kwakuwa tayari anatumika na Myemeni, ila endeleeni tu Kulea huo Upuuzi wake mtanikumbuka!!!!
5 Reactions
9 Replies
635 Views
Na mwalimu Nizzo Utangulizi Leo tunakwenda kuingia katika somo muhimu sana—ufahamu wa ndani kupitia Jicho la Tatu. Kama nilivyowahi kuwaambia, Jicho la Tatu si jicho la mwili, bali ni lango la...
2 Reactions
2 Replies
782 Views
Zitasaidia kupunguza baadhi ya matatizo katika jamii zetu, zitaondosha magomvi juu ya Mali za wanandoa, zitaondosha wanawake matapeli wa ndoa wenye dhamira za mali na si mapenzi ya kweli, maana...
4 Reactions
17 Replies
768 Views
Back
Top Bottom