Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

01.Akikukosea anakuomba msaamaha mara mbili, usipomsamehe anakausha, baadae anakuombia unataka kuombwa msamaha siku tatu kwani wewe umekamilika? 02.Mwanamke Ambae anapigia hesabu pesa ambayo...
1 Reactions
3 Replies
435 Views
Yaan kwamba hamsomi kabisa kabisa maandiko ?. Mwanadamu Dunia amepewa jina Moja tu la kuombea chochote , nalo ni JINA LA YESU. Unajiuliza , MTU aliyekufa, Kisha nyinyi wenyewe mliohai mkamuita...
16 Reactions
73 Replies
3K Views
TAARIFA YA KIFO: DAVID - Mwandishi na Mzalishaji wa Kazi za katuni. Kwa huzuni kubwa, tunapenda kutoa taarifa ya kifo cha David, aliyejulikana kwa mchango wake mkubwa katika ulimwengu wa uandishi...
4 Reactions
10 Replies
741 Views
Wakuu habari! Nina mjukuu wangu anasoma shule ya secondary KAWE UKWAMANI yupo form 4. Juzi wameandikiwa barua kuwa wanafunzi mia wameharibu jiko la kupikia lenye thamani ya milioni nne kwahiyo...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar. Asanteni😊🙏
5 Reactions
132 Replies
3K Views
Sio sababu maalumu ya kutuwekea ugumu hasa passport n.k Tuwekeeni urahisi wa sisi kutokana na kwenda kujaribu bahati zetu zetu Nje .
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Kamati Kuu ya Chama cha Wandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya, imewataka wandishi wa habari wote wa Mkoa huo kutoshiriki shughuli yoyote ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mpaka pale Kamati Kuu ya Chama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Yaani ukisikia pesa inayotengwa na serikali kwa ajili ya mifumo mbali mbali nchi hii unawezwa kutokwa machozi. Pesa nyingi utengwa kwa ajili ya ma IT wa mchongo ili kupiga TU pesa ya wananchi...
2 Reactions
15 Replies
710 Views
Ni hivi biashara ninayo fanya haina mtaji mkubwa so siwezi kwenda kiwandani kuchukuwa mzigo mkubwa isipokuaa anaekwenda kiwandani ni wale masuper agent wenye mitaji mkubwa kisha wale ndio waje...
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Ughonile watu wa Mbeya, nipo Njombe (zamani ikiwa shemu ya Iringa) nimekuwa nikistuka kwa visa vya mara kwa mara kwa vijana wa Mbeya kujiua. Kunakoelea sio, ni muda wa kujadili shida ilipo ipate...
3 Reactions
9 Replies
665 Views
Kuna watu sijui ni ulimbukeni au ushamba. Huyu jamaa yangu yeye alibahatika kupata kazi tu after graduation kwenye hizi NGO zilizokua chini ya USAID, kwa kipindi kile kijana mdogo kulipwa 3m per...
66 Reactions
172 Replies
9K Views
Inashangaza kuona stendi zote zilizojengwa awamu ya 5 zimegeuka kuwa magofu. Kuanzia Chato Hadi Sumbawanga, Magufuli-Mbezi Hadi Dodoma ,stendi zilizogharimu mabilioni Sasa wateja wamezikimbia na...
14 Reactions
164 Replies
6K Views
Paul Getty who is billionare ( egual to 1000 millionares) says that: The secret of Success is just two words TRY HARDER! The greater your difficulties,the harder you need to try to overcome...
4 Reactions
7 Replies
509 Views
Kuhusu Waziri Mkuu kusema kuwa vijana wenye degree waende VETA ili wapate elimu za ufundi stadium ili kukidhi soko la ajira Waziri Mkuu kitaaluma ni mwalimu na amewahi kuwa kiongozi wa Chama cha...
2 Reactions
2 Replies
280 Views
Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
14 Reactions
92 Replies
8K Views
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro linamsaka dereva wa Lori la kusafirisha mafuta anayetambulika kama Abubakari Adam Mwichangwe, mkazi wa Dar Es Salaam kwa kosa la kula njama ya kuharibu gari na...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao (online) kuanzia usiku wa manane kuamkia leo Machi 19, 2025. Hata hivyo licha ya...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Nyerere aliwahi kusema kuwa elimu ya msingi lazima ijikamilishe akimaanisha kuwa mwanafunzi akimaliza pale lazima awe na ujuzi unaotakiwa. Pia alisema elimu ya sekondari isiwe bomba la kupitishia...
4 Reactions
3 Replies
409 Views
Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa...
7 Reactions
91 Replies
5K Views
Wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo. Yule daktari...
23 Reactions
85 Replies
4K Views
Back
Top Bottom