Wanawake wajasiriamali kutoka Mkoani Arusha wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwezeshaji wake wa Mitungi ya gesi takribani 1,000 iliyogaiwa bure kwa wajasiriamali wa chakula Mkoani Arusha...
Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi
Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na...
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo amepiga marufuku shughuli zote za kilimo katika bonde la magore kibeberu kata ya Mzinga.
Hatua hiyo ya kupiga marufuku shughuli zote...
Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo.
Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuagiza Mkandarasi Kutoka kampuni ya CCECC ya Nchini China anayetekeleza mradi wa Maji Tunduma - Vwawa kuhakikisha anakamilisha kazi kwa wakati huku akisisitiza...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama...
Anasema wahitimu wenye degree waende VETA ?
Tatizo kubwa la vijana ni ajira hili lipo wazi.
Kwamba kwenda VETA ni muarobaini wa kukabiliana na tatizo la ajira?,halaah sijaelewa
Vijana wote...
Usikate mti bila sababu unaweza kuutengeneza vizuri uka kupunguza na juu ukafunga makuti ikawa kama mwamvuli.
Chini ama katikati ukaweka bench laini kukaa kupumzika huku ukila na kunywa kama...
Hii sio habari njema sana. Watanzania wenzetu walioko Zambia hasa maeneo ya kaskazini wameanza kulalamikiwa kwa kufungua kwa wingi biashara mbalimbali hasa maduka. Wazawa wanaitupia lawama idara...
Hii ndio miradi tuliyokuwa tunasifiana awamu zilizopita.
Bora hizi hela zingenda kwenye Kilimo na kuwapa watu Ajira.
Bilioni 50 zimetumika, lakini ghorofa mbili ziko tupu! Stendi ya Magufuli...
e E
Siku ya Jana Tarehe 19 MACHI 2025 Kuna video toka Nasa inayoonyesha Wanaanga Waliokwama kwenye kituo cha Anga cha kimataifa cha ISS Wakirudi Duniani kwenye fukwe za bahari jiji la Florida...
Kwa mujibu wa Orodha ya Vyuo Vikuu Bora Afrika inayoandaliwa Kila mwaka na jarida la UNIRANk imechapisha Vyuo 30 Bora Barani Afrika Mwaka 2024 kama inavyoonekana kwenye orodha hapa chini 👇👇
My...
Nimeona sugu ameitisha press, na kuwaambia waandishi wa habari kwamba atagombea ubunge 2025 October,
Naona hii italeta mpasuko mkubwa ndani ya Chama, wanachama wengi wanaona kama Wana nafasi ya...
Salaam.
Wadau,
Ingawa nimeleta kwa mfumo wa swali natumai Kichwa cha Uzi kinajieleza.
Na Kiwiliwili ni kuwa, wakati ambapo katika mazingira ya kawaida Uhalifu popote pale hauwezi kukubalika...
Habari wakuu,
Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.
Mizimu ni roho za watu waliokufa.
Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama...
Kuna idadi kubwa sana ya wanaume above 30 wenye NIDA zao ambao wanafurika kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura wapya.
Sababu kuu ni
Wanaenda kutafuta watoto wa elfu 2 ambao wanafurika kwa...
Habari wakuu
Kuota ndoto upo shuleni unazunguka eneo la shule pasipokuingia darasani huku unapishana na makundi ya wanafunzi wameondolewa madarasani kwa kukosa hada wamejitenga pembeni wanajisomea...
Wasalaam
Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana weledi wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni
Mara mbili napanda...
Jina la Bwana na Mwokozi Yesu libarikiwe. Karibu tujifunze biblia.
Je kuna utofauti wowote ya Ubatizo wa Yohana na ule wa Bwana Yesu?,
Jibu ni kwamba hakuna utofauti wowote, ubatizo ni ule ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.