Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia. Maneno ya waliwahi kulitumia yanaweza kukuamiza sana Kila utakapopita nalo, utakutana na watu...
3 Reactions
2 Replies
321 Views
Zaidi ya Wakazi 2000 wa Kata ya Nyankende Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameondokana na tatizo la kutumia Maji ya kwenye visima na Mabwawa baada ya Serikali kujenga Mradi wa Maji Safi na...
1 Reactions
1 Replies
296 Views
Wale wau ambao kila kitu kizuri kikitokea wanaishia kusema ni kwa sababu Mama Samia anaupiga mwingi, kuna wakati hizo sifa kwa raisi zitawatokea puani na kumuumbua sana raisi wetu. Juzi hapa...
0 Reactions
4 Replies
513 Views
Kuna habari ya kuamsha shauku ya wapenda simulizi za kiuchunguzi na kijasusi zinazunguka huko ulimwenguni baada ya Raisi D.Trump kusaini amri ya kuruhusu kabrasha (files) za uchunguzi kesi ya...
2 Reactions
9 Replies
779 Views
Afisa Tarafa wa kata ya Bungu Wilayani Korogwe Ndugu Peter Kahindi amefanya uzinduzi wa kilimo mbadala spices yaani viungo, karafuu, iriki ,mdalasini Tangawizi na nk. Akizungumza na waandishi wa...
1 Reactions
0 Replies
380 Views
Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi. Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
1 Reactions
35 Replies
963 Views
Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye...
21 Reactions
153 Replies
4K Views
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan manispaa ya Songea iliyopo mkoani Ruvuma imenufaika kwa utekelezaji wa miradi ya...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Anonymous
Hili ni Daraja la Kijiji cha Mirongoine, Kata ya Mbuyuni mkoani Arusha viongozi wamekula fedha ya ukarabati wa daraja hili hadi inapelekea Wajawazito kuvunjika wakijitahidi kuruka kwenye mawe ili...
1 Reactions
1 Replies
211 Views
Serikali imetoa Sh bilioni 106.4 kufanikisha miradi ya maji, afya, barabara, umeme na elimu katika jimbo la Bukoba Vijijini mkoani Kagera kwa kipindi cha miaka minne, Mbunge wa jimbo hilo, Jassoni...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Mifumo ya AI inaendelea kukua kwa Kasi ulimwenguni, lakini watafiti toka MIT wamegundua kuwa mifumo hiyo ya AI inajifunza pia kutudanganya Wanadamu pamoja na kuwaendesha kupelekea kuibua wasiwasi...
0 Reactions
3 Replies
312 Views
Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje . Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU Tarehe: 25 - 27 Machi 2025 Wataalamu: 1. Dr Zabron...
2 Reactions
0 Replies
263 Views
CHADEMA inamshutumu Amosi Makala ikidainalieleza Uma kuwa CHADEMA ina mpango wa kununua Virusi vya kuangamiza Wanachama wa CCM. ========== Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeagiza...
1 Reactions
3 Replies
625 Views
Kuvuta bahati na pesa ni ndoto ya watu wengi, lakini hakuna njia ya haraka au ya hakika ya kufanikisha hilo. Hata hivyo, kuna mbinu na mazoea ambayo yanaweza kukuweka katika nafasi nzuri ya...
1 Reactions
2 Replies
971 Views
Kuna jamaa,yuko kwenye mahusiano na binti mmoja wamezaa na mtoto wanaishi pa1. Mwanamke wake waliyezaa nae ana mtoto mwingne tayar alizaa kitambo huko kabla hajakutana na mwana ,hata baba...
1 Reactions
11 Replies
580 Views
Hawa mafundi waliosomea au waliopata ujuzi site na baadaye wakaamua kujiajiri wanaishi kwenye uhuru wa kifedha kuliko watumishi wengi wa umma. Ukiondoa watumishi wa umma wezi kundi lingine lote...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Tutakumbuka Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lilieleza kwamba kuanzia Februari 18 hadi 22,2025 liliwakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya upatu...
0 Reactions
4 Replies
746 Views
Nimeshangazwa na kusikitika na kinachoendelea nchini kuhusu hali ya hewa.ni kipnd cha mvua sahivi cha kusikitisha karibia maeneo yote nchini hayana mvua,mazao yamekauka mashambani TMA MKO KIMYA...
2 Reactions
1 Replies
470 Views
Wakuu nawasalimu Kwa upendo wa dhati kutoka kwangu. Amani na huruma za Mola ziwe kwenu nyote Kuna hii kitu inaitwa hijaama ama kupiga chuku ama kutoa damu chafu mwilini. ni kitu inafanywa sana...
4 Reactions
90 Replies
32K Views
Back
Top Bottom