Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake.
Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili...
The United States has reportedly sold 1,000 “immigration gold cards” — special visas offering residency for $5 million each — generating $5 billion in just one week. According to official Howard...
Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
Abiria wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) maarufu mwendokasi wameelezea malalamiko yao baada ya moja ya mabasi hayo kuvuja maji wakati wa mvua jijini Dar es Salaam.
Katika video iliyosambaa...
HATARI ZA SIRI ZILIZOPO KWENYE MAHOTEL NA LODGE !!!
Najua watu wengi tunapenda kwenda kulala kwenye lodge, hoteli mbalimbali lakini umeshawahi kufikiria au kudadisi ukiingia kwenye chumba...
MLANGO WA NANE
Mnamo march 2015, mdau wa JF anayejulikana kwa jina la Pucilio alileta uzi ambao unahusisha watu na mikosi kwenye maisha ya ndoa.
Alisema kwamba kuna aina ya watu wana mikosi ya...
Aura ni nishati au mwanga wa kipekee unaozunguka mtu, mnyama, au kitu, ambao unadhaniwa kuonyesha hali ya kihisia, kiroho, au afya ya mtu huyo. Katika imani za kiroho na metaphysics, aura...
Kuna mashariki ya congo yaani Rwanda na sudan.na kuna mashariki ya kati hii migogoro Toka nazaliwa naikuta.. mashariki ya congo anakula Belgium Yuko mezani na washirika wake wa ulaya..
Mashariki...
Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe.
Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna...
Mvumbuzi wa Zimbabwe Awasilisha Gari la Umeme Linalojiendesha Bila Kuchaji: Mapinduzi Katika Teknolojia ya Magari
Mvumbuzi wa Zimbabwe, Maxwell Chikumbutso, ameunda gari la kwanza la umeme...
Ukituma meseji yenye neno sex haiendi. Hii maana yake nini?
Kwamba ndio mnalinda maadili ama nini?
So mnataka tuwe tunaandika meseji kama watoto wa elfu2 sex tuandike sx au xex.
Acheni utoto...
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito?
Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya...
Nina plan ya kununua gari lakini naona safari kama ndefu sana.
Kwaiyo nilitaka nianze kupata uzoefu na magari kwanza.
Nataka mshikaji ambae anaweza kua ananiachia gari kwa bei ndogo isiwe kam bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.