Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe...
Wanaandika BBC
Chanzo cha moto kwenye ndege ya Airbus A321 nchini Korea Kusini kimebainika.
Mamlaka za eneo hilo zilisema moto huo ulisababishwa na 'power bank'.
Ndege ya abiria ya Air Busan...
wadau wanapendekeza na kusisitiza vijana kujengewa uwezo zaidi ili washiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi wa kisiasa kwa kujitokeza zaidi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na pia...
Leo kuna dogo kaja ana lalamika yani kaenda kwenye interview na alipofika amewakuta wale wanaomuuliza maswali wanaelewa sana kile alichokisomea yeye na hata wao hawajasomea course hiyo...
KUKOMBOLEWA KUTOKA KWENYE NGUVU ZA GIZA na Emmanuel ENI SEHEMU YA KWANZA (PART 1)
Sura 1: Nilipotorokea kwenye "Maisha
mapya"
Hadithi yangu inaanza miaka 22 iliyopita katika kijiji kidogo...
Wasalaam wanajamvi
Nimeguswa na tukio la Kanisa la Mtume na Nabii Mwamposa kuhusishwa na vifo vya waumini 20 katika viwanja vya Ushirika Moshi. Nimeguswa kwakua Mimi ni muumini wa waamini (wale...
UTARATIBU UNAOTUMIKA NA PSRS KWENYE MCHAKATO WA USAHILI SIO STAHIMILIVU KWA WASAILIWA, HAUZINGATII GHARAMA ZA MCHAKATO KWA WASAILIWA, NA HAUNA UWAZI KWA WASAILIWA WARUDISHE ONLINE ITASAIDIA...
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa...
Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa...
Abiria wamenusurika kifo kufuatia ajali ya basi la New Force liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma kugongana na malori matatu maeneo ya Mlima Nyoka jijini Mbeya ambapo baadhi ya...
KIWANDA CHA MIPIRA YA MIKONO (gloves) KIMEANZA KAZI
Bohari ya Dawa (MSD) imeanza uzalishaji wa mipira ya mikono katika kiwanda cha Idofi mkoani Njombe.
Mwezi Februari 2024, Serikali iliiwezesha...
Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye...
Naamini wahanga wa sms za kugangwa mnazipata. Hawa waganga wa kienyeji nani anawapa namba za simu maana wanahisi kila mtu ni muumini wao wanatuma sms kila wakihisi umepata mshahara
Unaweza kumkuta mtu kichaa anaoga, anapiga mswaki, anakula majalalani, analala popote nje kwenye mazingira machafu, lakini yupo fresh tu na hapati magonjwa. Jibu ni kwamba hajui kama kuna...
Swali hili limekuwa likijirudia mara kwa mara, hasa tunapojaribu kulinganisha tamaduni na mtazamo wa maisha kati ya Tanzania na Kenya. Ingawa furaha ni hisia ya kibinafsi, kuna mambo ya kijamii...
Dokta silahaa alitoa kauli kuhusu hoja yake lakini jeshi la polisi liliwahi kumkamata sababu ya kauli.
Zipo kauli nyingi ambazo vyama pinzani utoa lakini ni za kujenga hoja na kukosoa pale...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kumekuwa na makundi mbalimbali yanasema na kujinasibu kumchangia Rais Samia fedha ya kwenda kuchukua fomu ya kugombea Urais. Je, hadi sasa imefika...
Siku chache baada Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika juu ya hali ilivyokuwa katika Shule ya Msingi Nsololo kuhusu kuezuliwa kwa paa katika moja ya majengo ambapo hali hiyo ya jengo kutokuwa na...
LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa?
Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.