GEBA2013
JF-Expert Member
- Feb 22, 2014
- 6,266
- 9,243
Nimeshangazwa na kusikitika na kinachoendelea nchini kuhusu hali ya hewa.ni kipnd cha mvua sahivi cha kusikitisha karibia maeneo yote nchini hayana mvua,mazao yamekauka mashambani TMA MKO KIMYA Joto ni kali,hatupati mwongozo wowote kutoka mamlaka ya hali ya hewa TMA.