safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,188
Wakuu nawasalimu Kwa upendo wa dhati kutoka kwangu.
Amani na huruma za Mola ziwe kwenu nyote
Kuna hii kitu inaitwa hijaama ama kupiga chuku ama kutoa damu chafu mwilini. ni kitu inafanywa sana hasa na baadhi ya waarabu na hata zamani wazee wakifanya sana sijui kwa sasa.
Madaktari wanasemaje kuhusu hili suala kwa mujibu wa elimu zao....?
Nasikia ni tiba nzuri sana inasafisha damu na kuongezanguvu za kiume kwa kuwa ati inasaidia damu kuflow vizuri kabisa.