Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota...
Wasalaam!
Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania.
Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba...
Wananchi katika Kijiji cha Kasekela kata ya Mfinga bonde la ziwa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga, wameondokana na adha ya kuugua homa za matumbo baada ya Serikali kukamilisha mradi mkubwa wa maji wenye...
Gari za mwaka 1 hadi 3 = 7 million
Gari za mwaka 4 hadi 6= 6 million
Gari za miaka 7 hadi 9 = 5 million
Gari za mwaka 10 hadi 12 = 4 million
Garia za miaka 13 hadi 15 = 3 million
Hairuhusiwi...
Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka...
Ni mada mnyumbuliko yenye uwili wenye kusigana kinadharia, kiuhalisia na kusadikika kunakoacha maswali yenye majibu mchanganyiko....
Uchawi, upo, ushirikina upo, ulozi upo michezoni na watu...
Katika kipindi cha uchaguzi Taarifa za uzushi hutengenezwa kwa kiwango kikubwa na kusambazwa kwa njia mbalimbali ikiwemo kupitia mitandao ya kijamii.
Taarifa hizo zinaweza kuhususisha sauti...
Hivi huwa najiuliza mfano mwaka huu mtu mmoja ujiandikishe zaidi ya kituo kimoja je hii inawezekana na ukapatiwa kitambulisho Mimi naona kama hili jambo haliwezekani sababu Kuna finger print...
Wakuu, tangu na tangu hizi ajira ntakazoziorodhesha zilikuwa za watoto wa maskini sababu huji kuona mtoto mbunge, waziri au kibompa fulani mwanae anazifanya isipokuwa kazi kama uhasibu, uinjinia...
Licha ya kuwepo mzunguko mkubwa wa upatikanaji wa elimu lakini maarifa yamekuwa ni machache.
Kuna Wazee wengi lakini busara imekuwa ni changamoto kwa kila rikaa.
Je,Tatizo ni dhiki tunaoendekeza...
Kila nikitafakari kwamba Kuna binadamu wanaishi Tanzania hii nje ya dar es salaam huwa nashindwa kuelewa.
Yaani mtu unawezaje kuishi porini aisee kweli ndio maana dar ni ya wajanja nyie wa...
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini...
Bei ya mfuko wa cement ya sasa iko juu sana ni vizuri mfuko wa cement ukawa kati ya sh 3000 mpaka 5000 hii itapelekea ujenzi wa nyumba kuwa mrahisi na kujenga nyumba zenye ubora kuwa ni jambo la...
Kama kuna nia ya dhati ya kuitangaza kilimanjaro marathon iwe upgraded na kuwa kilimanjaro diamond league na serikali ipambane iingie kwenye calender ya diamond league
Kinachotakiwa ni kuboresha...
Habari wa wataalamu wa miamba kuna eneo lina dalili ambazo hazieleweki, naomba kwa mjuzi anae jua, sehemu inayoonyesha kuna dalili za kuchimbwa mafuta kunakuwaga na ishara gani?
Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika.
Zijenge miundombinu.
Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi.
Kwa maana hiyo...
Osterbay polisi upande wa uhakiki wa leseni na wale vehicles wanaopitisha wamejikuta miungu watu hawasikilizi wabongo zaidi ya wachina na wahindi wana kauli mbaya na lugha chafu kwa wabongo
1. Nipo Kisiju, idadi ya misikiti Ni mingi kuliko shule na hospitali. Wananchi wanaswali kuliko shughuli za kuingiza kipato. Kiuchumi hii ipoje?
2. Kilimanjaro wenzetu wanapiga kazi...
Akiwa na umri wa miaka 95, mwanafalsafa na mwanaisimu wa Marekani Noam Chomsky alipoteza uwezo wake wa kuzungumza na kuandika,
..LAKINI aliacha kiti cha enzi cha maneno—chombo ambacho kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.