Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio South wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea...
''Dj Aro Arungu''
''Mada mada maugo''
HUU hapa chini ndio ujumbe aliouandika mtangazaji wa Tbc Fm Dj Aro Arungu asubuhi ya leo na kuwatumia jamaa na marafiki kuhusiana na...
Leo nilikuwa natafakari mambo fulani fulani ghafla nikakumbuka hilo neno (Primitive) ambalo lilitumika katika filamu ya Royal Tour ikitambulisha jamii ya kimasai pale porini.
Aah teknolojia...
Moja KWA moja, binafsi nilijikuta KWA sababu walionilea walikuwa wanasali humo (SDA). Yaani dini ya kurithishwa.
Lakini katika ukubwa na kujitambua nilikaa upya kutathmini na kuanza kukagua...
Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi...
Kariakoo (Dar) kwa siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la kubwa la biashara ya simu zilizopachikwa jina kama 'Simu za Mtumba' ambazo uuzwa kwa bei nafuu, simu hizo ni za 'brand' mbalimbali...
Kuna changamoto kubwa sana na inajirudia mara kwa mara kwenye ATM za NMB Buhongwa hali inayoleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wanaotokea maeneo mbalimbali na kuna taarifa kwamba wanafanya...
Economic chain kaiua makusudi kabisa.
Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding...
Jamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na...
WANAJAMVI:
KUNDI la Askari polisi wapatao 10 wa kituo kikuu cha Polisi Geita wamemjeruhi vibaya Mwandishi wa Habari wa Redio Free Afrika Mkoani Geita Salum Maige baada ya kumshambulia kwa magumi...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
Hongereni wenzetu kwa kuzingatia maagizo ya Mungu kikamilifu, mbarikiwe sana
And Moses and Aaron and his sons washed their hands and...
Baada ya kushiba ndiyo tunagundua chakula kimezidi chumvi, ama imepungua au kama ni mihogo baada ya kushiba ndiyo tuna gundua ni michungu.
Kama ni juisi baada ya kushiba ndiyo tunagundua sukari...
Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana,
Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye...
Sijui kama naliona vibaya jambo hili. Kila mahali mahitaji ya viwanja vya makazi yanongezeka kwa kadi hasa kwa sababu ya idadi ya watu kuongezeka. Mahala palipokuwa mashamba katika Majiji, miji...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Viongozi Wakuu wa nchi za Afrika na China, mkutano unaotarajiwa kuanza Septemba 4-6, 2024 nchini China.
Atashiriki...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 3, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping katika Ukumbi wa The Great...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.