Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations)...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii. Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza...
1 Reactions
3 Replies
367 Views
Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Thread Kwa miaka mingi sasa, watu wengi wameanza kulaumu vyakula kama wali, ugali, nyama, na kitimoto kuwa chanzo cha maradhi kama kisukari, presha, na saratani. Lakini je, ni kweli chakula...
1 Reactions
5 Replies
660 Views
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya KSh 23.2...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya...
1 Reactions
1 Replies
326 Views
Katika kuhakikisha wananchi wanapatiwa huduma za haraka bila usumbufu hasa kuepuka kutumia muda mwingi kwenye ofisi za umma, Serikali iliamua kuanzisha Kituo jumuishi cha huduma (HUDUMA PAMOJA...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Huwa nikilala usiku mfano nikaota ndoto ikatokea nimestuka usingizini Then nikatoka nje then nikija nikilala tena huwa ile ndoto inaanzia palepale nilipoishia. Pale nilipostuka Na hata nikistuka...
1 Reactions
18 Replies
944 Views
Serikali kupitia Wizara ya Maji imekamilisha ujenzi mradi mkubwa wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 1, huku Wananchi 14074 wa Vijiji vitatu vya Baluli, Mwabuma na Mwashata, Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi, amesema kuwa serikali inakusudia kuanza kuwataja watu wanaojihusisha na uhalifu mtandaoni, wakiwemo wale...
1 Reactions
4 Replies
799 Views
Hii dunia ya Duara. Tutakutana tu. Yaani ata kuelezea nashindwa, ila mmenikera sana. Kila anaeingia ofisini kwenu anatoka analalamika. Nikajua labda wao ndio jau. Kuingia, mnakaripia tu kila...
6 Reactions
19 Replies
909 Views
Katika lawama za wachina kuwepo nchini, reference ya watu wengi ni vitu kuwa bei nafuu. Kwa miaka kadhaa watu wamelalama vitu kuwa bei juu inakuwaje sasa watu wanaanza kulaumu vitu kuwa bei nafuu...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Ni muda sasa baada ya kusikia kuhusu vifaa hivi vya umeme (kuchaji)....Hivyo ninauhitaji navyo lakini ni bora kufahamu kuhusu vipengele hivi... 1:- Je baiskeli za umeme zipo tz na zinapatikana...
3 Reactions
36 Replies
8K Views
"Lakini hata shida hizi ziweje kwa ukubwa, zaweza kuondolewa. Shida zenyewe ni kama miguu ya jongoo tu. Mtoto wa jongoo alimwuliza mama yake: "Mama, mbona nina miguu mingi, je nianze kwenda kwa...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Kwa niaba ya wafanyabioshara wa Kariakoo-Dar, kata ya Kariakoo, mtaa wa Kariakoo Magharibi, tunaomba mamlaka zinazohusika na usimamizi wa mchakato wa usajiri na utoaji vyeti kwa vikundi vilivyo...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Alizaliwa Machi, alikufa Machi na kuzikwa Machi. Kaburi la Marijani Rajabu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo ni miaka 30 kamili tangu afariki.`Pumzika kwa amani King rajab.
5 Reactions
13 Replies
887 Views
Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho.. Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe...
1 Reactions
3 Replies
323 Views
Shule za msingi za serikali kuongeza wigo wa masomo ya kingereza (english) na kuwa matatu nayo ni kingereza, hesabu kwa kingereza na science kwa kingereza huku kiswahili kikifundishwa masomo...
1 Reactions
3 Replies
392 Views
Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Unakumbuka enzi zile ambapo mtu alikuwa akienda benki kuweka au kutoa pesa, lazima apange foleni ndefu na asubiri kwa muda mrefu? Au enzi ambazo ukienda mgahawani, mhudumu ndiye aliyekuwa...
1 Reactions
13 Replies
663 Views
Back
Top Bottom