MSAADA:nina aleji na simu za tachi screen.

Bornvilla

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
924
Reaction score
272
Jamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na kujaa maji ya malengelenge na maumivu.Niliwahi kuwa na samsung nikaisukuma nikachukua simu yenye batton za kawaida tu. Nimejaribu simu tofautitofauti nikidhani tatizo labda ni aina ya simu lakini wapi. Tatizo model zenye stiki ni chache hasa za watu wa kipato cha kawaida na nyingi zinataka vidole tu na huwezi tumia kitu kingine. Once nikipata nzuri inayosapoti stiki ya aina yoyote nadhani nitafurahi.Msaada ninaoutaka ni kujua tatizo langu na namna ya kulisolve ili niwe kama wengine.Nisaidieni jamani.
 
Nenda hospitali utapata tiba sahihi...humu watakubeza tu
 
Usiwe na mtazamo hasi bro, mimi namshauri si lazima kuwa na smartphone kwani ukiangalia hizo App nyingi ni za kufurahisha na kupoteza muda tu, unaweza kuishi bila hizo.
Arudi kwa 'Connecting People..."
 
tumia tu tochi elimradi lengo la simu nimawasiliano muhimu unapata haina shida apps achana nazo ili uishi kwa amani...
 
Jamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na kujaa maji ya malengelenge na maumivu.Niliwahi kuwa na samsung nikaisukuma nikachukua simu yenye batton za kawaida tu. Nimejaribu simu tofautitofauti nikidhani tatizo labda ni aina ya simu lakini wapi. Tatizo model zenye stiki ni chache hasa za watu wa kipato cha kawaida na nyingi zinataka vidole tu na huwezi tumia kitu kingine. Once nikipata nzuri inayosapoti stiki ya aina yoyote nadhani nitafurahi.Msaada ninaoutaka ni kujua tatizo langu na namna ya kulisolve ili niwe kama wengine.Nisaidieni jamani.
Kuna mambo mawili
1. Namna unavyotumia simu, touch scrn unatakiwa kugusa very slightly
2. Aina ya screen protector, nyingine sio nzuri zina cause friction.
otherwise huna tatizo lolote
 
Jamani mi napenda sana smartphone tachi screen lakini kwangu ni tatizo.Tatizo langu ni kuwa ninapoandika kwa ncha za vidole nahisi moto,nikamaliza kuandika kama ni sms kidole utadhani nimeungua na kujaa maji ya malengelenge na maumivu.Niliwahi kuwa na samsung nikaisukuma nikachukua simu yenye batton za kawaida tu. Nimejaribu simu tofautitofauti nikidhani tatizo labda ni aina ya simu lakini wapi. Tatizo model zenye stiki ni chache hasa za watu wa kipato cha kawaida na nyingi zinataka vidole tu na huwezi tumia kitu kingine. Once nikipata nzuri inayosapoti stiki ya aina yoyote nadhani nitafurahi.Msaada ninaoutaka ni kujua tatizo langu na namna ya kulisolve ili niwe kama wengine.Nisaidieni jamani.
Tatizo lako ww unatumia simu za mchina maana ukijaribu kufuatilia hakuna simu orginal ambayo inatumia mguso wa kucha kama unavyodai ww,simu nyingi za mchina zinasense kucha,jaribu iphone utafurahi tu
 
Back
Top Bottom