wale wa TANGA Kunani


mwambojoke

mwambojoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
863
Likes
329
Points
80
mwambojoke

mwambojoke

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
863 329 80
Ni mara yangu ya kwanza Nakuja tanga mchana huu.Naomba mnisaidie maeneo ambayo sipaswi kukosa kutembelea nikiwa Tanga nijienjoy.
 
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,772
Likes
2,016
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,772 2,016 280
Ni mara yangu ya kwanza Nakuja tanga mchana huu.Naomba mnisaidie maeneo ambayo sipaswi kukosa kutembelea nikiwa Tanga nijienjoy.
Tembelea Kwanjeka
 
S

sumra

Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
7
Likes
0
Points
3
S

sumra

Member
Joined Sep 4, 2013
7 0 3
Nenda blue room kesho ukapate breakfast utaikumbuka maishani Kama in mpenzi wa kabab na nylon bhajia
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
5,577
Likes
3,599
Points
280
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
5,577 3,599 280
Thubutu..! uswahilini sana huko..nenda amboni caves..raskazone..sahare..deep see ukale samaki..sehemu ni nyingi..ni muda wako na kipato.!
 
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
678
Likes
35
Points
45
I

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
678 35 45
Nenda Tanga beach resort ipo sahale,hapo utaenjoy sana
 
Abdillahjr

Abdillahjr

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
694
Likes
4
Points
0
Abdillahjr

Abdillahjr

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
694 4 0
Ni mara yangu ya kwanza Nakuja tanga mchana huu.Naomba mnisaidie maeneo ambayo sipaswi kukosa kutembelea nikiwa Tanga nijienjoy.

We ni jinsia ME au KE?!! Maana lazima tujue ili tuangalie protocol,na pia una private transport au public? Me ni mwenyeji huku japo makazi Dar na nipo kwa wkend!!
 
mzaramo

mzaramo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2006
Messages
6,363
Likes
4,502
Points
280
mzaramo

mzaramo

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2006
6,363 4,502 280
inategemwa uwezo wako wa kifedha nisije kukwambia uende beach ya kulipia kumbe uwezo wako ni beach ya bure

#kunjani kuti
 
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
589
Likes
7
Points
0
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
589 7 0
watu wa Tanga mnatia aibu. Sahare mtu anasema sahale. Raskazone kubwa zima linaandika laskazone ... kumbavuh
 
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Messages
8,416
Likes
1,772
Points
280
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2013
8,416 1,772 280
Mkoa wa Tanga una wilaya zake,kuna wilaya ziko pwani na kuna wilaya ziko bara,Hawa wa maeneo ya bara,ndio wanaoshindwa kutofautisha kati ya L na R,kama vile Wilaya ya Lushoto,Muheza,Korogwe ,Handeni,Kilindi ,lakini wa maeneo ya wilaya za Tanga mjini na Pangani ni tofauti,labda ukutane na mhamiaji kutoka wilaya za bara.
 
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
589
Likes
7
Points
0
K

kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
589 7 0
Mkoa wa Tanga una wilaya zake,kuna wilaya ziko pwani ma kuna wilaya ziko bara,Hawa wa maeneo ya bara,ndio wanaoshindwa kutofautisha kati ya L name R,kama vile Wilaya ya Lushoto,Muheza,Korogwe ,Handeni,Kilindi ,
asante sheikh Kikwajuni one. nahisi wewe ni mtu wa Mkwajuni Dar. au sio sheikh
 
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Messages
8,416
Likes
1,772
Points
280
K

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2013
8,416 1,772 280
Wenyeji wa maeneo hayo ninawafahamu vizuri
 

Forum statistics

Threads 1,262,918
Members 485,741
Posts 30,135,901