Hayo ndio maelezo ya Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa akirejea maamuzi ya Rais Samia.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa...
Naandika kama mzalendo wa nchi pendwa Tanzania. Kwanza kabisa niseme ninawaheshimu viongozi wote wa serikali, chama tawala hadi wapinzani. Kuna jambo naona kama haliko sawa hivyo nimeona nitumie...
Japokuwa Tanzania ni nchi yenye idadi ya raia zaidi ya Kenya lakini hatuingizi mitumba mingi.
Tafiti iliyofanyika chuo kikuu cha Massachusetts (MIST) nchini Marekani imelinganisha idadi ya raia...
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) wametoa msaada wa mahitaji maalumu ikiwemo vyakula kwenye kituo cha watoto Kurasini jijini Dar es salaam lengo likiwa ni kusherehekea kuelekea sikukuu ya...
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma kwenye shule Moja ya mchepuo wa kiingereza iliyopo ndani ya manispaa ya Moshi (j'ina tunayo)wameingiwa na hofu kutokana na uongozi wa shule hiyo kuanzisha utaratibu...
Ulimwengu huu ni mpana sana ,unatawaliwa hasa na viumbe wasio na mwili lakini wamenasa katika Udanganyifu wa maumbile/mtego wa maumbile.
Ni ulimwengu wa viumbe wa Giza/Malaika waasi ukiwemo na...
Serikali ifute mikopo ya elimu ya juu kodi zetu ambazo hazirudi kwa sababu wahitimu hawapati ajira.
Badala yake hizo pesa iboreshe elimu ya Veta ichochee ubunifu nchini.
Ina maana gani...
Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa...
Katika sakata na minyukano inayoendelea kuhusiana na kuvunjika kwa dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga nimekutana na video clip moja ya baadhi ya mashabiki wa upande wa Yanga wakiwananga wazee...
Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea.
1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Vidacom Tanzania Philip Besimire akizungumza wakati wa hafla ya Iftaar ya pamoja na Wateja wa Vodacom Zanzibar na Wafanyakazi katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip...
Makuhani na mafarisayo walimtaka Yesu awake ishara akawaambia kama Yona alivyokuwa kwenye tumbo la samaki siku tatu kisha akatoka basi na yeye atakuwa kaburini siku tatu na kutoka akiwa mzima...
TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 28/03/2025 majira ya saa 7:45 mchana, karibu na daraja la Tanzanite, wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imetokea ajali iliyohusisha magari matatu kugongana na kusababisha...
MTU NA KUJITAMBUA.
Watu wengi siku za Leo,wamekuja na shauku ya kutaka kujitambua,je twajua au hatujui maana yake?.
Utambuzi wa mtu upo wa Namna nyingi sana.
Kuna kujitambua kifikra,Kuna...
Kama ukifanya uchunguzi utabaini kwamba Mwanamke huwa mwenye kunufaika zaidi na mahusiano/ndoa kuliko mwanaume.
Ukizingatia mafundisho ya kidini ambaye huwa mwenye kunufaika zaidi na ndoa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.