KERO Huduma kwa wateja ya TRA ni mbovu sana

KERO Huduma kwa wateja ya TRA ni mbovu sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
TRA Tanzania wana customer care mbovu sana, wanatudharau wateja wao, hawataki kujibu kwa wakati na walikuwa na haja gani ya kufungua account ambayo hawaiendeshi?

Katika ajira zilizotangazwa juzi juzi wameshindwa hata kuajiri watu watakaosimamia hi mitandao yao ya kijamii.

Kama hawa tra wa hapa JamiiForums, sijui hata kama wanajua account yao inaexist.

Tunaomba mtoe ushirikiano kwa walipa kodi wenu.
 
Ngoja wamalize kuajiri labda watabadilika. Kwa sasa wapo wachache na kazi ni nyingi. Wanafanya kwa kipaumbele.
 
Back
Top Bottom