Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwako wewe DED masasi inafahamika kwamba mtumishi anapohamishwa kituo kimoja kwenda kituo kingine lazima alipwe fedha za uhamisho na ya usumbufu Sasa inakuwaje mwezi December mmehamisha watumishi...
0 Reactions
4 Replies
842 Views
NINI HASA KINAENDELEA NDANI YA CWT (IWAFIKIE WALIMU WOTE NA JAMII YA WATANZANIA) Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii huenda umekutana na taarifa za uteuzi wa baadhi ya viongozi...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakuu hakuna kipengele kwenye Gpt asee labda uje nacho mwenyewe Jana nimechat nae Kwa kina sana na akanipa mwongozo tukuka(GENTAMYCINE voice) Nilielewa asee Sasa mwezi ujao naanzisha kahama...
5 Reactions
20 Replies
914 Views
Naomba Serikali , isaidie kutoa support ya kusafirisha mwili wa marehemu Justin kimodoi . Cc Waziri Mkuu Pia soma > TANZIA - Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi afariki dunia nchini...
2 Reactions
71 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kilivyoanza hapo juu wengi watafikiri labda ni utani lakini sio utani ni kweli. Mimi nimezaliwa Mtwara, mara baada ya kumaliza darasa la saba nikawa sina dili, nikawa...
22 Reactions
113 Replies
17K Views
Katika baadhi ya nchi za Kiislamu, sheria za kidini (Sharia) zinaweza kumhukumu mtu anayekataa au kuacha imani ya Uislamu kwa adhabu kali, ikiwa ni pamoja na hukumu ya kifo. Hii ni kutokana na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa Tanzania imeondoa njaa kwa asilimia 100, akifafanua kuwa kilichobaki ni kuondoa kwa mtu mmojammoja. Akizungumzia namna Tanzania inavyotekeleza Mpango wa...
2 Reactions
18 Replies
725 Views
Mhanga pia ujulikana kama ( muhanga) wingi ni wahanga ,majina yake mengine ni fundi-mchanga , kiharara, kukukifuku au loma ( Orycteropus afer jina la kisayansi ) kiingereza huitwa aardvark Ni...
23 Reactions
35 Replies
13K Views
Zab 108:13 SUV [13] Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, Maana Yeye atawakanyaga watesi wetu. Mtu akikuangalia ulivyo, ulipozaliwa, kazi yako, biashara yako, elimu yako, maisha yako, anaweza...
3 Reactions
11 Replies
605 Views
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuhudhuria maadhimisho ya Kumbukumbu ya miaka 19 ya Kifo cha Prof. Hubert Kairuki. Sii wengi humu wanamfahamu huyu Prof. Kairuki ni nani na kwa nini akumbukwe...
32 Reactions
284 Replies
60K Views
Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali
12 Reactions
71 Replies
4K Views
Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe. Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu mi nimeona kuwe na degree ya udarali (WA vyumba/nyumba na vitu vingine mbali mbali vinavyouzwa au kukodishwa ) yaani iwekewe syllabus watu wasome.nimetoa Aya maoni kwa sababu nimeon hii kazi...
1 Reactions
3 Replies
296 Views
Habari za Kwenu Wadau! Nimeleta huu uzi kutoa uzoefu wangu na huduma za kibenki za Exim Bank. Exim Bank ukienda kwenye Branch zao wanahuduma nzuri na haraka tu unaondoka lakini kwenye application...
2 Reactions
4 Replies
461 Views
Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jana tarehe 28 Machi 2025, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya...
0 Reactions
4 Replies
400 Views
Mungu wa mchongo kiasi hiki hapaswi kuabudiwa. Watu wanakufa kwenye vita, Watu wanakufa kwa njaa, Watu wanakufa kwa magonjwa. Ila huyo Mungu ametulia tu katika kiti chake cha enzi. Kama kweli...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Wajuzi naombeni msaada juu ya hili.
1 Reactions
5 Replies
570 Views
Wakuu, Hii kesi inavyoenda kimyakimya kuna jambo! ==== Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo ilisikilizwa Februari 26, ambapo Tarimo alipata nafasi ya kutoa ushahidi wake na kueleza upande wake...
1 Reactions
1 Replies
466 Views
Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica...
1 Reactions
2 Replies
295 Views
Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga . Mkipata wekezeni Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa...
1 Reactions
3 Replies
433 Views
Back
Top Bottom