chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Hili swala ni zuri sana,
Ila kuna watu wanajifanya kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio.
Mfano wa watu hawa:
Mfano mtoto wa mkubwa au tajiri anakwambia kijana usikate tamaa na kuwa mvumilivu .
Muulize wewe ulipozaliwa ulikuwa mvumilivu?
Ila kuna watu wanajifanya kuwa na ushawishi wa kuhamasisha kujituma ili kupata mafanikio.
Mfano wa watu hawa:
- Forex
- scammer
- makahaba ya grade za juu
- watoto wa wakubwa na matajiri
- waliopata pesa kwa njia za madawa ya kulevya na biashara za ajabu
- ushirikina
- shoo off za mitandao ya kijamii
Mfano mtoto wa mkubwa au tajiri anakwambia kijana usikate tamaa na kuwa mvumilivu .
Muulize wewe ulipozaliwa ulikuwa mvumilivu?