Kujipata ni ngumu sana, labda ujilipue kwenye shughuli utazoweka roho yako rehani mfano kuchimba madini
Kagera
Mara
Shinyanga
Simiyu
Tabora
Lindi
Mtwara
Kilimanjaro
Tanga
Walikuwepo wazee wa jando na mifuko yao myeusi na bakora ya kutembelea .. Ndani ya huo hiyo mifuko ndio kulikuwa na zana za kazi🤣
Kwa waliokwisha pata jando ilikuwa ni kumbukumbu ya kutisha na...
Mwalimu Paul Mpandiko, gwiji wa Book Keeping, mpenda mazoezi, asiye na makuu.
Alipotea tangu juzi, leo mwili wake umekutwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti ukiwa na majeraha ya mapanga.
"kifo...
Siku moja baada ya kifo cha mfanyabiashara wa madini, Marwa Masese (45) na mwanaye, John Marwa (28), dada wa marehemu, Grace Marwa amesimulia mkasa huo akidai kuwa mdogo wake alisaini mkataba wa...
Ukristo ni dini ambayo imeshazoeleka kutaniwa na kufanyiwa mizaha ila ni ngumu kusikia kelele wakilalamika, nashangaa wakristo wa hapa bongo wakilalamika utani wa Mwijaku
Imeshazoeleka kushoot...
Habari wandugu!
Leo ndio narudi Tanzania nikitokea Rwanda kwa ajili ya likizo ya mapumziko kiukweli kuna mengi niliyoyaona na kujifunza nikiwa Rwanda ila nafurahi maana mengi ni mazuri.
Suala la...
Iko hivi Kuna Roho inaitwa ya Mpinga christo Sasa basi hii Roho ni moja ya Roho yenye nguvu sana ,ila bado haijainuka au kurusiwa kufanya kazi Duniani kwa kiwango cha juu kwa Sasa bado haija...
Habari ya mwaka mpya 2025,
Naomba uliza je hawa wachungaji / MANABII / pastor wa makanisa ya ki-leo haya ya kinabiii , ki mitume , haya ambayo muumini ananunua maji ya upako ambayo yana...
1. Taa Za barabarani haziwaki maeneo mengi nyeti zimebaki kama mapambo. Pamoja na Chalamila kutangaza biashara Kariakoo 24/7 bado mitaa mingi kariakoo na Posta hakuna taa za barabarani na zilizopo...
Mapepo, mashetani na wachawi wananifahamu sana kuwa nimeokoka na sina mchezo na dhambi.
Wiki iliyopita, walijaribu kunishambulia kama walivyomfanyia Ayubu. Mdomo wangu ulivimba ghafla ukawa...
Kwako Binti na Mwana wa Afrika.
Elimu za Dunia zinafundisha watu, kuenenda kwa akili/kutumia akili zaidi.
Elimu za kiroho zinahimiza Unyenyekevu/kuenenda kiroho/kutumia uwezo wa ndani wa...
Kwa nini kila janga la kiafya linaonekana kuwa na ajenda ya siri? Je, tunaelekea wapi kama dunia?
Katika miaka ya hivi karibuni, ulimwengu umekumbwa na majanga ya kutisha kama Ebola, Zika, na...
Nakuja na habari hii ambayo inasikitisha sana lakini chanzo chake ni uongozi mbaya na rushwa kutawala Musoma na kulindana kuanzia Mkoani hadi Wizarani.
Ndugu zangu, nimekuwa katika hospitali hii...
Waungwana naomba kuuliza , Je ni kweli hazina hakuna pesa?kama ni kweli nahisi ni huu upana wa Barza la Muungwana na safari zisizo na kikomo na maandamano ya utitiri wa watu kwenye hiyo misafara...
Ufugaji wa mbwa holela unakera sana,si kwa kuonekana wakizurula bali ni hatari kwa watu.
Hawa mbwa wengi wanakichaa wanang'ata watu na kupelekea vifo kama hatuwa stahiki zisipochukuliwa kwa...
Utamaduni ni jambo ambalo linanguvu saana, Hata wataalamu wa mambo ya kijamii wanasema ili uweze kubadilisha utamaduni wa sehemu fulani inaweza kuchukua hata miaka 50.
Katika jamii zetu kumekuwa...
HabariLeo; Wednesday,November 07, 2007 @00:01
TUNAUNGA mkono agizo lililotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Bukoba, Albert Mnary, ya kutaka maelezo kutoka kwa wenyeviti wa wilaya na Halmashauri ya...
Yes, nasema ushamba kwa sababu gani kukaa Dar es Salaam si kuwa uko mikoani hakuna watu ambao hawaijui hiyo Dar si wazawa ila kutokana na mihangaiko ya maisha wanajua chocho zote za Dar
Wanajua...
Feni hizi utazikuta lodge,maofisini,salon, majumbani n.k.lakini mimi naziona ni hatari sana.Fikiria imekatika kule juu ikiwa kwenye mwendo mkali halafu humo ndani kuna watu.
Kwa nini zisizungukwe...
Najiuliza na kujiuliza tena na tena. TASAC palikuwa na kitengo cha Clearing and Forwarding ambapo hawa kazi yao ilikuwa ni kusimama kama serikali kufanya clearance ya kila kitu kutoka hapa nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.