Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sawa hainihusu, ILA, Wenyewe ndio mnatengeneza na kuruhusu aina ya mwanamke mbovu achukue nafasi ya "a normal traditional bride" alafu mkishaingia kwenye mahusiano mnaanza kulalamika "ooh...
19 Reactions
68 Replies
2K Views
Kumekuwa na matangazo mengi ya dawa za asili mitandaoni lakini kamwe hutosikia dawa ya malaria na magonjwa yaliyozoeleka utasikia nguvu za kiume na mambo ya uzazi wa kike. Mambo ya uzazi imekuwa...
1 Reactions
6 Replies
499 Views
Habari, Nlikua naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinazotoa huduma ya martial arts katika maeneo tajwa hapo juu na nitashukuru nikipata na msaada wa gharama. Asante
3 Reactions
10 Replies
619 Views
Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa...
30 Reactions
109 Replies
8K Views
Mimi ni mkazi wa Mbagala Charambe karibu na sub-station mbili za Tanesco, toka nihamie eneo hili kwa zsidi ya miaka 15 iliyopita hakuna hata mwaka mmoja ambao tumepata umeme unaostahili yaani kati...
0 Reactions
8 Replies
524 Views
Ingawa Mtume Muhammad alileta Uislamu kama dini mpya, ni dhahiri kwamba alihifadhi sehemu kubwa ya mila na desturi za wapagani wa Kikureshi. Hebu tuangalie Leo baadhi ya Mila na desturi za...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Huu ni ujinga kama wanajeshi ndiyo walinzi wa viongozi wa kisiasa na mipaka ya nchi muda wote ndani ya Afrika na wanaaminiwa kwanini wasiachiwe nchi za Kiafrika waziongoze kijeshi? Wanasiasa ni...
-1 Reactions
3 Replies
329 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kwa ujumla hali ya usalama Dar es Salaam...
17 Reactions
114 Replies
8K Views
Maisha ni fumbo kubwa sana, hayo sio maneno yangu bali ni ya binti huyu mwenye umri wa miaka 35 kwa Sasa,. Binti huyu Ambaye ni yatima muda wake mwingi Anapandisha na kushusha na barabara za...
0 Reactions
5 Replies
818 Views
Anonymous
Majangili (kutoka Tanzania na Kenya) wamemuua faru ndani ya Hifadhi ya Taifa Serengeti. Faru huyo ameuawa wiki moja iliyopita, na nyara zake zimekamatwa Nairobi, Kenya. Baada ya uchunguzi...
1 Reactions
5 Replies
826 Views
Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Kuna mambo yanaumiza Sana, wanatangaza tender, mnaomba tena mnalipia, unapewa KAZI unaambiwa ukaanze KAZI. Unakopa, unafanya KAZI zao, wanakuja wanakagua, wanakwambia maandalizi ya Interim...
1 Reactions
10 Replies
555 Views
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM...
2 Reactions
0 Replies
566 Views
Ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), zimeendelea kuonesha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara tangu Serikali ilipoamua kulifufua kwa kununua ndege...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
au Mungu hawajui hao waumini bali wanajipendekeza kwa yesu hawajui hao waumini??
1 Reactions
19 Replies
703 Views
Moja ya mtandao ulikuwa wa kutegemewa ni Voda Ila Sasa naona ni jipu kwenye Internet Nimejaribu kufuatilia nikidhani ni suala la muda lakini wapi Au inategemea na maeneo wakuu
1 Reactions
1 Replies
198 Views
Mvua kubwa iliyonyesha takribani saa tatu katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, imesababisha zaidi ya nyumba 300 katika mitaa ya Omukigusha, Byekela na Nyamkazi kuzingirwa na maji huku baadhi...
0 Reactions
1 Replies
355 Views
MZUNGU NA ADVENTURE: HAYA SASA MUAFRIKA KATIKA KUISAKA PLEASURE: ALL IN ALL MAISHA YAENDELEE
4 Reactions
13 Replies
571 Views
Na huenda angefanikiwa. 😂😂😂✍️✍️✍️
2 Reactions
0 Replies
382 Views
Back
Top Bottom