Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwana Jf mmoja anielekeze namna ya kutengeneza mbege kama Nina ndizi na ulezi tayari.
4 Reactions
32 Replies
797 Views
Nawakumbusha tu wenye kipaji cha kusifia hali ya upatikanaji ya maji inazidi kuwa mbaya, kwani maji yamegeuka kuwa anasa vilory vya maji vimerudi kwa Kasi kubwa na maji hutoka mara Moja kwa wiki...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Nimesikiliza hii clip huyu Askofu ana upeo mkubwa Sana, nilichogundua pia ana kipaji cha kufundisha MTU akelewa. Hawa jamaa (ROMA) ndio maana wanaitawala dunia, shule Sana aiseee. Hivi wa upande...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wakuu nina maswala 2-8 nazani yananitatiza sana huenda ikawa ni ma tatizo au ndio upekee huo enewei Iko hivi najiona nimekua mtu wa ajabu yani niko tofauti sana na wengi wanaonizunguka 1...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu,Kuna kitu huwa najiuliza sana na kujadili kichwani mwangu.Viongozi wa CCM inapofika kipindi cha uchaguzi hofu ya Mungu inaondoka kabisaa,wanaamini kuwa Mungu alieumba Mbingu na ardhi...
0 Reactions
9 Replies
407 Views
Kwa hili chama changu cha mapinduzi kinahitaji lawama kubwa hata kama ni uroho wa madaraka hii ni too much. Siasa zimepoa ,figisu zimezidi kushika kasi,vijana wenzangu wa chama siyo tena wale...
1 Reactions
1 Replies
227 Views
Wapishi wengi inapokuja ishu ya usafi wanafeli chakula kinapikwa katika mazingira machafu kama una roho nyepesi huwezi kula. How do you feel unamsababishia mtu kuhara kutokana na maandalizi...
2 Reactions
9 Replies
347 Views
Huko kazini, nimekutana na case ya dada ametolewa cervix (mlango wa kizazi) kwa sababu ya kujifukiza na kujiingiza mavitu ukeni. Jamani, waambieni wanawake wasiweke vitu huko chini, athari zake...
16 Reactions
81 Replies
3K Views
👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 BALENSIAGA 🙌🏿🙌🏿
6 Reactions
14 Replies
688 Views
DAR ES SALAAM, Tanzania – Kampuni ya Coca-Cola imezindua kampeni mpya iitwayo “Chupa la Machupa”, yenye lengo la kuwazawadia mamilioni ya wateja wa vinywaji vya Kampuni hiyo. Kampeni hii...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Queen Cleopatra Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya...
3 Reactions
6 Replies
568 Views
Nakumbuka enzi za zamani mtu mwembamba alikuwa anaonekana mgonjwa na watu kuwa na hofu nae lakini mambo yamebadilika kwasasa mtu ukiwa mnene watu ndio wanakuwa na hofu nawewe. Kwa ufupi maisha...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia. Maneno ya waliwahi kulitumia yanaweza kukuamiza sana Kila utakapopita nalo, utakutana na watu...
11 Reactions
36 Replies
2K Views
Kuwa Muislamu kuna faida nyingi, zinazogusa maisha ya mtu binafsi, jamii, na hata maisha ya baada ya kifo. Baadhi ya faida kuu ni hizi: 1. Uhusiano wa Moja kwa Moja na Mwenyezi Mungu Uislamu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana...
5 Reactions
11 Replies
852 Views
Itakumbukwa mwaka jana watumishi walioajiriwa 2005 kurudi nyuma waliseleleka hadi daraja G by default bila kujali daraja alilokuwepo! Je, ajira za 2006 na kuendelea tukae mkao wa kula mwezi ujao?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Huku Zanzibar kumeibuka tabia ya Watu ‘kupigwa’ sana pesa kwa kisingizio cha kutafutiwa safari za kwenda nje ya Nchi. Wengi ninaowafahamu waliokutwa na changamoto hiyo wameingizwa mjini kwa...
2 Reactions
4 Replies
821 Views
Nakuja hapa jukwaani nikiwa na huzuni kubwa baada ya kupata taarifa za msiba kutoka kwa jamaa yangu, aliyepoteza binti yake wa kwanza aliyekuwa anakaribia kufanya mtihani wa NECTA. Binti huyo...
6 Reactions
9 Replies
719 Views
Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia...
2 Reactions
4 Replies
739 Views
"Kila mtu anapaswa kuamua hatima yake mwenyewe, Na katika uamuzi huu hakuna upendeleo. Kwa hivyo mkono mikononi, kwa mikono, tutapambana na mapambano haya madogo, Kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Back
Top Bottom