Ufugaji wa mbwa holela unakera sana

Ufugaji wa mbwa holela unakera sana

Milazetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2025
Posts
300
Reaction score
270
Ufugaji wa mbwa holela unakera sana,si kwa kuonekana wakizurula bali ni hatari kwa watu.

Hawa mbwa wengi wanakichaa wanang'ata watu na kupelekea vifo kama hatuwa stahiki zisipochukuliwa kwa haraka.Ushauri kila mahala wanapoonekana mbwa wanazurula hovyo wauwawe na mamlaka za mifugo.Miaka ya nyuma ulikuwa utaratibu huu wa kuwauwa.

Pia elimu itolewe kupitia redio na mikutano umuhimu wa kuchanja mbwa na hatuwa zinazoweza kuchukuliwa kwa mtu anayefuga mbwa holela.
 
Milazetu ndivyo zilivyo hatujali wanyama tunaowafuga, tunafugafuga tu mapaka shume, mambwa koko, kuku videri, bata miharisho
 
Nyie endeleeni tu kula mishkaki
 
Juzi mbwa mmoja amejeruhi watu watatu bila sababu zozote na walikuwa wanapita njia na yeye haishi maeneo hayo,

Ila jambo jema watu walikusanyana haraka sana ikawa kila mbwa anaenekana ni rungu.

Iwekwe sheria kwa maeneo yenye watu wengi kama huna fence basi jenga banda ndipo ufuge mbwa.
 
Back
Top Bottom