Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Waungwana naomba kuuliza , Je ni kweli hazina hakuna pesa?kama ni kweli nahisi ni huu upana wa Barza la Muungwana na safari zisizo na kikomo na maandamano ya utitiri wa watu kwenye hiyo misafara yake ya kwenda kuuza nchi.Naomba kuwasilisha na kuuliza.
That is not a problem, they can always print more money. That is the way to go in third world, you cant run short of money while you have money machine. To hell with inflation and all crap from western world, just print couple of 10,000s and 5,000s.
Re: Ni kweli Hazina hakuna Pesa?
--------------------------------------------------------------------------------
Quote: Loi
Waungwana naomba kuuliza , Je ni kweli hazina hakuna pesa?kama ni kweli nahisi ni huu upana wa Barza la Muungwana na safari zisizo na kikomo na maandamano ya utitiri wa watu kwenye hiyo misafara yake ya kwenda kuuza nchi.Naomba kuwasilisha na kuuliza.
Mzee unabidi kujue kwanza basic accouting, swali lako liko too casual, serikali ina budget, lakini pia ina matumizi, sasa ikitokea ukahitajika kulipa zaidi ya makusanyo kwenye mwezi fulani haimaanishi kwamba hazina hamna hela na hivyo serikali imeshindwa... Hata hivyo serikali ina namna ya kukopa hela kupitia benki kuu kulipia maeneo ambayo yamehitaji hela nyingi...
In short inabidi uelewe kwanza maana ya "cash flow", ndio uulize maswali kama haya.
NB:
1. Serikali inakusanya hela nyingi sana siku hizi so hakuna shida kama unavyotaka kutuambia...
2. Sio kila kitu kinafanywa na Rais, you need to be specific, wizara ya fedha ndio inafanya hizo kazi, na taasisi zinazofanya hivyo ni kama kwa Accountant General....
Kilitime,
Unayosema ni sahihi, ila nisaidie kitu kimoja. Hivi wakati serikali ilipoomba "suplementary budget" ilikumbwa na nini? Hasa baada ya fungu la safari za viongozi kuwa zilikua zinahitajika ziada ya Sh bilioni 23 kabla hata ya mwisho wa kipindi cha bajeti kwisha?
..ila kuna nakisi ya bilioni 300 na upuuzi kwenye bajeti!matumizi makubwa!kilitime any dataz?