Naamini 100% mbogamboga wamecheza

Naamini 100% mbogamboga wamecheza

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
60,345
Reaction score
174,564
Kwa mujibu wa mange, mboga mboga naamini wamecheza kama Pele kuwatumia cdm kuvujisha kinachoitwa connection ya mwigu kwa maslahi yao

Ushauri wangu mtajua wenyewe ila siku wadanganyika watazinduka mtabakwa mtungo *****.
 
Neeeexxxxxxt tukio please!

Jumamosi ijayo ni Yanga na Simba...

IMG-20261004-WA0007.jpg
 
Connection iliyovuja nami nataka nione wakuu.
ushaambiwa imefutwa huko mitandaoni ila waliom back mail inasemekana wana vipande vingine vikali zaidi wanamtishia kuviachia asipoachia ngazi kwa hiari yake mwenyewe. Mbabe anapokutana na mambo ya kibabe ni utata mtupu
 
Huu ukumambuzi ndio ningefanyiwa mimi na ubabe wangu ningemsaka aliyenifanyia umafia na mtandao wao wote ningemwaga mbonga na ugali bila kumuonea mtu haya, ni kufa na kupona kulinda hadhi yangu. Sitakubali kudhalilishwa kindezi namna hiyo kisa madaraka, namwaga siri zote mbaya kuwaaibisha wabaya wangu walionitegea mitego
 
ushaambiwa imefutwa huko mitandaoni ila waliom back mail inasemekana wana vipande vingine vikali zaidi wanamtishia kuviachia asipoachia ngazi kwa hiari yake mwenyewe. Mbabe anapokutana na mambo ya kibabe ni utata mtupu
Wanataka aachie ngazi 😂😂
 
Back
Top Bottom