Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika maisha unapokuwa unayaanza usije ukaudharau mwanzo mdogo / humble beginning au huitwa baby step. Hii tafsiri yake ni kuwa hata Kama umepata Kazi ya kufuta meza , hakikisha unaifuta hiyo...
7 Reactions
13 Replies
808 Views
Pamoja na hofu kubwa ya Ongezeko la Wachina kufanya biashara ndogo ndogo zilizopaswa kufanywa na wazawa nchini lakini wana upande mzuri pia kwa raia wengi ambapo ni watu kupata bidhaa kwa bei...
0 Reactions
2 Replies
287 Views
Katika siku kadhaa kumekuwa na video ikimuonesha binti mdogo mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 12 mpaka 14 akifika duka moja na kuwasha sigara kisha kuivuta. Ni video fupi ambayo imesambaa...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk Nimeulizia nikasikia sio...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Iweke mikakati ya haraka sana ya kuwapa mafunzo ya miaka miwili pindi tu wanapomaliza masomo yao na iwalipe robo tatu ya scale yao ya mishahara. 2. Serikali itoe mikopo ya zana za kilimo...
2 Reactions
5 Replies
353 Views
Kama kijana wa kiume, jifunze kutambua kuna wanawake ni MAALUM kwa NDOA tu na kuna wanawake ni MAALUM kwa shahawati za mwili na starehe tu , Hata wao wanajijua hivyo. Ndio ipo hivyo duniani...
6 Reactions
2 Replies
452 Views
Habari bandugu natumai ni kwema. Kuelekea uchaguzi wa mwaka huu, kama ilivyo ada haki ya kila mtanzania alietimiza miaka18 kupiga kura. Aidha palipo na haki pana wajibu, wajibu wa kila mpiga kura...
5 Reactions
24 Replies
665 Views
USHAURI KWA SERIKALI TYSISIKILIZE HIZI KELELE ZA WAFANYABIASHARA WA KRKOO KAMA WANALIPA KODI ILEILE ILE MNAYOHIITAJI TUNAOMBA HAWA WATU WASISUMBULIWE WAHESHIMIKR KAMA WENGINE HATUWEZI KUNUNUA...
2 Reactions
5 Replies
333 Views
Pen#s Enlargement Gone Wrong ############## This is a biologically negative outcome caused by some of the so-called penil#s enlargement supplements sold by shady companies. To my fellow young...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Kadiri Teknolojia ya Akili Mnemba (AI) inavyoendelea kukua kwa kasi katika maisha yetu ya kila siku, sekta ya Habari nayo haijaachwa nyuma. AI inabadilisha namna tunavyokusanya, kuchakata na...
2 Reactions
7 Replies
707 Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limetoa taarifa kuhusu kipandae cha video kilichoonekana mtu akitekwa mkoani humo. Angalia hapa tukio lilivyotokea === "Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
1 Reactions
8 Replies
798 Views
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi. Zuweina Farah, akizungumza wakati wa uzinduzi wa msafara wa Vodacom Twende Butiama kwa mwaka 2025. Kushoto ni 8Mwanzilishi wa Twende...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Habari zenu, Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita. Asanteni.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Marekani wawekeze kwenye viwanda vya awali (primary industries) ndo wafikirie kushindana na china
1 Reactions
0 Replies
346 Views
HAYA MAOMBI SIRUDII TENA MAANA NIMEOMBA TOKA JAN MUNGU ATUSAIDIE SANA NDOA NYINGI ZINATESEKA SHIDA KUNYIMANA UNYUMBA YAAN WANAUME WALEVI WANALEWA USIKU HAWAWEZI HATA KUSHUGHULIKA WANAWAKE...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Afrika mambo mengi tunapenda kuiga,tufanya mambo mengi kwa sababu nchi fulani iliyofanikiwa inafanya. Akitokea mtu akapinga,wengine watakuja na hoja mbona nchi flani inafanya hivi ama ipo...
0 Reactions
7 Replies
398 Views
Rais wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha Ujumbe Maalum kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Congo (Congo Brazzaville), COLLINET MAKOSSO...
0 Reactions
3 Replies
433 Views
Ni hali iliyoanza kunitokea mwezi uliopita, Mwanzoni nilipuuzia ila imekuwa too much sasa kiasi cha kunistua. Siangalii muda mara nyingi lakini katika mara chache nazoangalia muda nakuta...
1 Reactions
6 Replies
493 Views
Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha ujumbe Maalum wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed. Ujumbe huo umewasilishwa Ikuku...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma Juzi nimesikitika sana...
2 Reactions
1 Replies
370 Views
Back
Top Bottom