Watanzania wengi sana hupenda kuonekana bize bila kujali matokeo,
Kuna watu hawaendi popote, hawana kazi yoyote, lakini kila asubuhi wanawahi kuamka tu waonekane nao wana mambo mengi.
Mtu yuko...
Enzi hizo tunasoma Songea Boyz tunakwea KISWELE COACH Stendi mnazi mmoja breki ya kwanza Comfort Hotel - Kitonga (Kula dakika 10 Tu) chuma inatambaa. Daah. Hakika miaka imeenda.
**Zamani raha sana
Ivi ukiwa na kifurushi Cha bando la mwezi halotel alafu katikati ya mwezi ukaongeza kifurushi Cha siku moja.
Kwenye matumizi inakuwaje kitaanza kutumika kipya mpaka kiishe alafu ndio Cha zamani...
Inashangaza sana tunapoziona rangi halisi za watanzania wenzetu wachache wanapojaribu kutuzibia mlango wa kuleta ahueni ya maisha kwa sababu za maslahi binafsi
KUNDI DOGO la wafanyabiashara...
Daniel alifanikiwa kuuona mwaka mpya lakini hakumaliza hata robo ya siku katika mwaka huo.
Ikiwa ni alfajiri ya saa kumi na moja, siku ya Ijumaa ya tarehe 1 January 2021, Dan alikuwa njiani...
WANAUME AMBAO HUFANIKIWA KATIKA BIASHARA, KAZI NA MAISHA...
Ni wale tu ambao hukubali kuishi tabia hizi 7
1. WANACHUKUA HATUA.
Wasiofanikiwa Wengi wana ndoto, hupanga malengo na kuyaongelea...
👉Chadema hawatoshiriki uchaguzi wa mwaka 2025 huku vyama vingine vyote Viki shiriki.
👉 CCM wataitumia hii situation kama fursa ya kuiua nguvu ya Chadema kwa kutengeneza "Chama Kikuu Cha...
KUMBE ALLIENS WAPO KWELI 🛸🛸👾
Hii sio Siri Tena Dunia inabidi itambue ukweli kuhusu viumbe Alliens wapo kweli !!! Kuna hati ya CIA iliyofichwa miaka mingi Hatimaye imepatikana ikielezea mambo...
Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya...
Biashara ya mirungi imeshamiri sana hapa Himo na inauzwa kwa uwazi kabisa.
Asilimia kubwa ya Vijana (Ke na Me) ndiyo wateja wakubwa wa biashara hiyo.
Polisi Himo naamini wanawajua suppliers na...
Habari wakuu,
Natumai wote mko salama. Leo nimekuja na mada nzito, yenye kuibua maswali mazito kichwani. Wengi wetu tunaamini kuwa kifo ni mwisho wa kila kitu, lakini je, ubongo wako unazimika...
King cobra (Ophiophagus hannah) ana moja ya mifumo ya sumu ya kuvutia na yenye nguvu katika ulimwengu wa nyoka. Akiwa ndiye nyoka mrefu zaidi mwenye sumu duniani—anayefikia hadi futi...
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua...
Taarifa ya HABARI ITV SAA 2 usiku wa tarehe 14/04/2025 imenishangaza na kuniachia swali mbona kimepitishwa kidokezo pekee bila kusomwa habari ya serikali kupiga marufuku masomo kuendelea likizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.