.
Ujuzi ni nguvu, maarifa ni nguvu na yanawakilisha kiasi kilicho patikana cha kujifunza, ambacho wa Kemet wa kale walikuwa wamefikia katika uwezo wa kutumia kikamilifu nguvu ya ubunifu...
Elon Musk enables satellite calls on iPhones and Androids worldwide.
Elon Musk has once again made waves in the tech world, this time with a groundbreaking advancement that could forever change...
Katika kisiwa cha Luzon, Ufilipino, kuna kabila la kuhama-hama la Aeta, watu wa kiasili ambao wamejitenga na sehemu nyingine za ulimwengu kwa maelfu ya miaka.
Majaribio yote ya hapo awali ya...
Kuna hii discussion ya goli la mama ambapo hatujui hela zinatoka wapi ila tunajua anatoa mama but guess what kama wewe ni mtu unayefuatilia hizi press comference za Ahmed Ally, Ally Kamwe na...
Yaani unakuta mteja mlianza vizuri biashara lakini kadiri siku zinavyokwenda anaanza kukuzoea mara achukue mzigo aseme hela baadae, mara kesho mara baada ya wiki hapo hajakwambia anakopa
Ndo...
Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe.
Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe...
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.
Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno...
Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10...
Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia...
Bila kujal chama au rank, tofauti na nyerere ni kiongozi gan katika historia ya taifa letu anatik box za ueled, unyenyekevu, uwajibikaj na utekelezaji
Moja ya kitu cha kishujaa niliwahi kuona ni...
Wakuu huyu afande Lazaro Mambosasa aliyewahi kuwa RPC wa dar wakt flani na ambaye sasa ni mkuu wa chuo cha maofisa wa police Kilwa road,naona siku za hivi karibuni anajiita Dr Lazaro Mambosasa...
💭 Hivi utajisikiaje pale ambapo mpaka ukawa na Neno la Siri ndo utaweza kufungua post za watu kwenye mtandao wa Instagram??
🥂 Instagram Iko kwenye majaribio ya kuweza kuachia mfumo mpya wa...
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho.
Maboresho...
Mwaka 2002 mkoa wa Mbeya kabla haujagawanywa kuwa mikoa miwili yani Songwe na Mbeya ilikuwa asubuhi nilipopokea simu kunitaarifu kuwa ndugu yangu amekutwa amechunwa ngozi kijiji cha Isansa wilaya...
------------------------------------
Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache...
Hili kanisa jambo kubwa linalolitambulisha Nchini Tanzania ni migogoro ya kugombea Madaraka, unakumbuka ya Askofu Mokiwa?
Hivi hili Kanisa halina Wasomi wa kulisimamia?
Pamoja na ukongwe wake...
Jamani nipo katika mgogoro na nafsi yangu...Je ni hasara gani zinapatikana kutumia jina la ukoo officially
Kuna mtu kanambia (mtumishi) nisitumie jina la ukoo kwa mtoto wangu maana linaakisi...
Ni wanawake wachache sana wenye kuweza kuvumilia umasikini wa mme wake akifulia kwa sababu pesa ni kama maji ya mto kujaa,kupungua,kukauka,kujaa tena ni kitu cha kawaida kwa 3D eyes.
Ukiangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.