Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na Hekima,na aombe Dua kwa Mungu,awapaye wote kwa ukarimu,Wala hakemei;naye atapewa.
(Yakobo 1:5).
Zingatia jinsi utamaduni unavyobadilika kadiri muda...
Hapa watumishi wengi watajua/wanajua wanachukua pesa walizo wekeza kwenye mfuko ( michango yao ya kwenye mfuko ) kitu ambacho sio sahihi.
Mifuko ilicho kifanya (Sheria mpya inavyo sema) michango...
Kama wazungu walipingana ktk ukristo i.e: Rc,Anglican,Protestants,Sabatho,Moravian,Lutheran nk kwanini sisi WAAFRIKA tusiupinge ukristo?
Hivi kama ukristo ingekuwa ni dini ya kweli wazungu...
Wengi wamedhalilishwa na njaa kiasi cha binadamu kugeuka chawa.
Wengi wameponzwa na uzwazwa kiasi cha binadamu kumuabudia binadamu.
Je kati ya viwili hivi kipi ni bora kuliko mwenzie?
Swali: Biblia imeandikwa na watu, (kama Paulo, Petro, Musa, Daudi na wengineo) je tutaamini vipi kitu kilichoandikwa na wanadamu kuwa ni kweli,? vipi kama wametoa tu kwenye akili zao, kwanini...
Mwl. Bryceson Makena ambaye ni muasisi wa Kisima amefafanua kuwa kongamano hilo la siku tatu litakuwa na zaidi ya washiriki 1000.
Na Vero Ignatus, Arusha.
Chama cha wafawidhi wa matukio nchini...
Ndugu zangu wanaJF,
Natumaini wote mu wazima.
Mimi ni mpenzi wa vitu vya kipekee, vya ubora wa juu na vyenye hadhi ya kimataifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta meza ya dining ya mbao ya asili...
Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii.
Hata kama...
Inaelezwa kwamba Pamoja na hayati luten mstaafu Zacharia Hans pope na wengine, kulikuwa na commando mmoja aliyeshiriki jaribio la mapinduzi lakin hakukamatwa alotoroka. Anaenda kwa jina la Pius...
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linadaiwa kuwazuia viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuendelea na mikutano yao, ikiwemo mikutano ya hadhara na mkutano na waandishi wa habari...
Ndugu zangu wapendwa!.
👉🏾Kuna jambo moja ambalo hatufai kulisahau ,kazi ni ibada. Kwa kila jasho tunalomwaga kwa ajili ya riziki halali ni sadaka mbele za Mungu. Ni njia ya kuonesha shukrani...
Sasa kama hawa alitoka ubavuni mwa adam kama jinsia ya kike je hizi jinsia za kike nyingine pia zilitoka ubavuni mwa jinsia ya kiume ya samaki,kuku,bata,nyoka,nk?
Kwanini wanawake i.e:hawa...
Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu...
TWENDE NA DATA
MICHUANO ya Kombe la CAF, ilikuwa ni michuano maalumu ya kila mwaka, iliyoanzishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kuzishirikisha timu zilizoshika nafasi za pili...
Wasalaam
Kuna hawa watu hasa mama zetu,mtu anakosea au anafeli katika mazingira fulani ya kibinadamu kabisa mathalani kwa uzembe wake au uzembe unaosababishwa na wengine...badala ya kukimbilia...
Kupungua kwa mawasiliano ya kijamii kati ya wanajamii (socialization), na hasa kwa vijana na wanawake waliokulia katika maeneo ya mijini. Yote ni athari zinazochangiwa na matumizi ya simu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.