Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
161 Reactions
1K Replies
77K Views
Anonymous
Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Mario ametoka marekani tangu aende kwa ziara ya miezi kadhaa, alipo kua akiongea na waandishi wa habari Mario amedai hakusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva marekani hii ni tafsiri safari bado...
5 Reactions
17 Replies
253 Views
Tanzania imeendelea kuonyesha viashiria vya kuimarika kwa uchumi. Benki ya Dunia imesema ukusanyaji wa mapato ya Serikali umevuka malengo katika mwaka wa fedha 2026, ukionyesha kuimarika kwa...
0 Reactions
2 Replies
61 Views
Great Thinker... eeh! Eti ni kweli ukipiga chafya ukiwa macho unaweza ukaafa? Halafu chafya ina mahusiano gani na mambo ya kiroho wakuu... Nilishasikia ukipiga chafya unatakiwa useme...
2 Reactions
17 Replies
233 Views
Jeshi la polisi mkoani kilimanjaro limetoa wito kwa wananchi kujenga utamaduni wa kufikisha changamoto za kiusalama kwa jeshi la polisi kabla hazijageuka kuwa migogoro au matukio ya uhalifu ...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
WanaJamvi natumai mwaendelea vyema...! Mimi ni mkristo na juzi kati nimeota ndoto nimezingirwa na nyuki wakubwa na wadogo na nikataka kukimbilia ndani nikasema nikiingia ndani naonwataingia ndani...
3 Reactions
23 Replies
237 Views
SISI WATIBELI HATUONI AJABU KUSIKIA MTU KATOLEWA MAINI KISA KUTAKA MALI ZISIZO ZAKE KWA KISINGIZIO CHA MKE/MUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sisi Watibeli moja ya mambo ambayo tunajua...
11 Reactions
81 Replies
801 Views
Anonymous
Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha TRA wahusika hawajibu WhatsApp message, nimekuwa nikilipia gharama za leseni yangu ya udereva kwa kwenda TRA na kupewa control number, lakini sasa hivi niko mbali...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Kuwa mkali sana, lakini usiwe mtu mwovu. Kuwa mkali kiasi cha kuacha kujali kama kila mtu anakupenda. Vinginevyo, watu wataitumia huruma na wema wako mpaka mwisho ujikute hujitendei haki mwenyewe...
16 Reactions
37 Replies
495 Views
Anonymous
Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Ununuzi huu haukuwa wa...
3 Reactions
5 Replies
202 Views
Mwanafunzi Mmoja tu ndiye kapoteza mkono. Hakuna maiti hata moja ie hakuna aliyepotea maisha... Hapa kwetu zaidi ya milioni wangelikuwa maiti!
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) inashiriki Mkutano wa 12 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa Nairobi (COP 12) kuhusu usimamizi wa Mazingira ya Pwani ya Bahari ya...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Yeremia 33:3 Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua. Mungu anaweza kuongea na wewe katika maisha yako kama uta amini uwepo wake juu ya maisha yako...
1 Reactions
4 Replies
207 Views
Leo hii, Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akiwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Mkataba kati ya TFF na Sandaland, ameeleza kuhusu sintofahamu ya wochi bela baki aliyoizua mitandao...
7 Reactions
150 Replies
2K Views
SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika...
1 Reactions
1 Replies
117 Views
JamiAfrica na Ukuaji wa Teknolojia za Ndani JamiAfrica inapaswa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuunga mkono teknolojia za ndani. Kama mmoja wa walezi na wakongwe katika tasnia...
1 Reactions
2 Replies
59 Views
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi akifanya mahojiano maalum na Azam Tv katika viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nverere (JNICC) Dar es Salaam ambako...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…