Rais Samia aendelea kuvunja rekodi

Rais Samia aendelea kuvunja rekodi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,040
Reaction score
838
Tanzania imeendelea kuonyesha viashiria vya kuimarika kwa uchumi. Benki ya Dunia imesema ukusanyaji wa mapato ya Serikali umevuka malengo katika mwaka wa fedha 2026, ukionyesha kuimarika kwa ukusanyaji wa rasilimali za ndani.

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) nayo imeeleza kuwa katika kipindi cha miezi 18 imenunua na kukusanya takribani tani 28 za dhahabu, zenye thamani ya karibu Dola bilioni 3.68 (Sh trilioni 9.76), hatua inayolenga kuimarisha akiba ya fedha za kigeni.

Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imepanda nafasi 105 katika Container Port Performance Index 2025, kutoka nafasi 360 hadi 255 duniani, kwa mujibu wa tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global Market

1791536574387.png
 
PhD za sadaka wanalia huko ,kutoka kuhamasisha maandamano mpaka kupiga vijembe vya taarabu mitandaoni..Wanaume wanampiga vijembe mwanamke ,hapa kweli usipooa kuna tatizo .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom