Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamadi Masauni atakua LIVE kwenye kipindi cha JAMBO TANZANIA cha TBC kwa ajili ya kuzungumzia wenyeji wa Tanzania katika Mkutano...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Jamhuri ya Muungano wa...
Familia ya Mariamu Ibrahim Juma, mkazi wa Mtaa wa Uwanja, Kata ya Nyankumbu, Mjini Geita, imeiomba serikali kupitia Jeshi la Polisi kusaidia kumtafuta mtoto wao, Abdurahman Yunusu (24), ambaye...
TAARIFA KWA UMMA WA KIISLAMU.
Jana Tulipokea Taarifa ya kutekwa kwa Ustaadh Abdulrahmaan Imam mkuu wa msikiti Wa GPB Shell Mtaa wa Nyankumbu Mji wa Geita.
Imam Abdulrahmaan Alitekwa akiwa...
Na huo ndo ukweli
Wanaroga vibaya sana
Nili ishi kule na kuna mazaibu yalinikumba sitosahau mpaka nikahama
Je, kuna siri gani.. Nimegundua kuwa nilicho pitia ilikuwa ni dumba kabisa.
Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Department of State) kupitia mpango wa Rewards for Justice imetangaza zawadi ya hadi dola milioni 10 za Marekani kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa...
Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni...
Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud)
Tumejifunza
katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la atheist nyakati hizi za kukuwa kwa technogy.
Yaani wanaishi kwa Mitongozo ya screens and mashines
Ila wa nasahau kuwa wazee wa zamani walijua kuwa mwanadamu...
Kufutia kifo cha anayedaiwa kuwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kuonekana akiwa na marais wa nchi mbalimbali za Afrika mashariki na ukanda wa kusini na hata akipiga nao picha ikulu za ajabu...
Maricarmen Abascal, mwenye umri wa miaka 87, amefariki, kwa mujibu wa Muungano wa Wapangaji wa Madrid.
Aliondolewa kwa nguvu kwenye nyumba yake mwezi Septemba akiwa amelazwa kwenye machela, baada...
Family Rule: dont bother the trouble if the trouble isnt bothering you
Kuna kipindi niliwahi kuitwa kutoa ushauri wa tabia mbovu ya mtoto wa kaka ya kutofanya baadhi ya majukumu alipokuwa kwa...
1.raia wa Israel wanapotalii nchi za ugenini Hususani huku Afrika wahakikishe wasiwe kwenye makundi makubwa kuepuka shambulio la kigaidi. Wasiweke nguvu tu kwenye nchi za Ulaya,uarabuni au Asia...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mrufani katika shauri la Kikatiba dhidi ya Serikali, Zitto Zuberi Kabwe, ametoa tamko zito akisikitishwa na hatua ya Mahakama ya Rufani ghafla kusita...
Habari za muda huu wakuu,
Leo muda huu nimekumbana na visa vya mauza uza wakati nipo katika usingizi ilikua kama ndoto lakini ni ndoto ya uwazi yani nikisema uwazi namaanisha matukio yaliyo kuwa...
Boa tarde camaradas.
Tembea uyaone, zunguka ujifunze.
Hivyo ndivyo ninavyoanza kwa leo.
Mara nyingi nimekua msomaji tu humu ndani, ila leo kuna topic nimeisoma humu ndani iliyo nishawishi na...
Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa...
Habari wapendwa.
Ni kama mwaka sasa nimekuwa napatwa na mawazo ya kujiua.
Hayaji kila siku na mara nyingi nafurahia maisha kama kawaida tu. Kiuchumi siko vibaya, sina deni wala vikoba ila kuna...