Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,095
- 869
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Hamadi Masauni atakua LIVE kwenye kipindi cha JAMBO TANZANIA cha TBC kwa ajili ya kuzungumzia wenyeji wa Tanzania katika Mkutano wa 12 wa mkataba wa Nairobi (COP12) kuhusu usimamizi wa mazingira ya Pwani na Bahari ya Hindi