mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,603
- 21,886
1.raia wa Israel wanapotalii nchi za ugenini Hususani huku Afrika wahakikishe wasiwe kwenye makundi makubwa kuepuka shambulio la kigaidi. Wasiweke nguvu tu kwenye nchi za Ulaya,uarabuni au Asia katika kujilinda wakasahau na huku Afrika. Serikali ya Israel isijiamini sana kwamba serikali za nchi za kiafrika zinaweza kuwahakikishia usalama wa raia wake 100% pale wanaofanya ziara za kiutalii haswa wa makundi pasipo na wao kujiongezea nguvu za usalama kibinafsi.🫵🫵😎
2. Serikali ya Israel ihakikishe hata mashirika ya ndege za kiraia zinazofanya Safari kuingia ndani ya nchi hiyo , marubani wawe wamefanyiwa screening ya kutosha kuepuka shambulio kama la 9/11. Waangalie pia mashirika ya ndege yanayofanya safari kwenda na kutoka Israel yameajiri raia wa nchi gani ili ku narrow down katika kuwafanyia assessment na psychological screening..
3.mossad kupitia Vitengo vyake vya cyber kwa kushirikiana na makampuni kama META viongeze nguvu kwenye kuchunguza na kuchuja maoni yote ya mtandaoni kuepuka kusambaza chuki dhidi ya raia wa kiyahudi..
4.ihakikishe inapitia sera zake za kigeni kwa nchi zote Israel inayofanya nayo mashirikiano ambazo zina sympathize na free Palestine movements ili kuweza kubaini kama nchi hizo zinaweza kuwa safe haven kwa terrorist.
5. Sina uhakika sana, na hili kama linafanyika ila ningeshauri nchi hiyo ifundishe raia wake basics za ujasusi mfano dry cleaning, brush contact n.k ku detect kama wanafuatiliwa na watu endapo wapo nchi za ugenini ili kuepusha maafa. (hapa wazingatie Moscow rules).
Kwa kuzingatia hayo nalishuka jukwaa la maoni. 😎😎😎
Yours sincerely , myahudi wa kimakonde mwenye ushamba wa kishumundu.
NB: ikiuma paka mate