Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama mungu ametuumba na nywele za kichwani,za kwenye kwapa na za kwenye sehemu za siri(pubic area) sasa tunazinyoa ili iweje? Huku sio kama kumkosea nini au nyie mwaonaje? Kama mwanadamu unatoa...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
MTUNZI : FAKI A FAKI Sikuwahi kuona sherehe kubwa ya harusi kama ile niliyoiona katika visiwa vya Ngazija nchini Comoro mwaka mmoja uliopita. Ilikuwa harusi ya binti wa Rais wa Moroco Yasmini...
35 Reactions
508 Replies
137K Views
YAH: SALAAM ZA POLE. Kwa niaba yangu binafsi, na kwa niaba ya Dayosisi ninayoiongoza kwa neema, pokea salaam za pole kama Baraza, Kanisa na binafsi kwa Fr. Charles Kitima kwa tukio ovu...
2 Reactions
6 Replies
737 Views
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoni Rukwa limetoa wito kwa wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi ili kupata viongozi bora watakaojali...
1 Reactions
5 Replies
418 Views
Nahitaji kupata uelewa juu ya haya mafao ya hazina. Naomba nipeni elimu. Nahitaji kujua mambo yafuatayo: 1. Mtumishi (mwalimu, daktari, Nurse, TRA, EWURA, TANESCO) aliye staafu analipwaje...
0 Reactions
0 Replies
241 Views
Yesu alipokuwa akiwaeleza wanafunzi wake dalili za kuja kwake, na za mwisho wa dunia, alitamka maneno haya ya kinabii: “Na kwa sababu ya kuongezeka kwa maasi, upendo wa wengi utapoa.” (Mathayo...
4 Reactions
15 Replies
979 Views
Kwa utafiti wangu mkubwa niliofanya hapa jijini dar ni kua makaka poa wengi au maa uncle wengi sio watu wa pwani kiasili wengi ni wavamizi kutoka bara hasahasa mbeya, iringa njombe na kaskazini...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwanza niwape pole kwa yanayoendelea kwenye taifa letu . Tutapata tu jawabu .. anyway moja kwa moja kwenye mada. Miaka hiyo niliyoitaja hapo juu naweza kusema ndicho kipindi au zama za ulimwengu...
6 Reactions
20 Replies
828 Views
Tabia ya watu KUOMBA HELA inakuja kwa kasi sana. Sio kwenye undugu, sio kwenye Urafiki, kwenye Mapenzi ndio usiseme Sasa. Utasikia, Oi! Kama una ten haina kazi nifanyie utaratibu, kuna mishe...
7 Reactions
13 Replies
758 Views
Nalipongeza jeshi la polisi kuwa na CCM sana sababu mnakadi za ccm ndio mpate vyeo. Watu wengi wamekuwa wakitoa ushaidi kuhusu nyie na tabia zenu sehemu nyingi kwenye matukio. Swali langu tu:kwa...
1 Reactions
1 Replies
263 Views
Nimeona mnawasakama sana walimu, mnawaona kama ni watu maskini lakini nikiangalia kada zingine za halmashauri wanakaa juu ya mawe tu hakuna utofauti wowote wa maisha kati ya walimu na watumishi...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Free zone ni project ambayo kwa wale wanaopenda pesa madaraka wanakurupuka ndio haya tumeona ngorongoro kwa waarabu. Free zone nahisi na bagamoyo imeshaanza. Kinacho fanywa kwenye project hizi...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Pension zinazolipwa na Hazina kwa Wastaafu zimekuwa zilicheleweshwa bila taarifa kwa wastaafu. Hadi sasa tarehe 12 July 20124, pension hizi hazijapatikana. Pension hizi huwafaa wastaafu katika...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
https://youtu.be/tI08NWYXihc?si=tjdasxeZb1GDbpgi Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba waandishi wa habari na vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Kumekuwepo na malalamiko ya muda mrefu katika Halmashauri ya Momba kutoka kwa Walimu na wadau mbalimbali juu ya tabia na mwenendo kutoka kwa kiongozi huyu. 1. Walimu wengi wamehamishwa bila...
0 Reactions
6 Replies
763 Views
Tumshukuru Mungu Huyu Elon Musk anastaafu pale Ikulu ya Marekani Ameivuruga dunia kweli kweli hadi kumfuta Mfadhili mkuu wa dunia USAID
1 Reactions
8 Replies
300 Views
Habari, Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi? Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense. Sasa ndugu zangu mtu kazini...
61 Reactions
342 Replies
13K Views
Je, ulijua? Wakati wa hali ya hewa ya baridi au msimu wa mvua, mijusi dume hujining’iniza kichwa chini miguu juu ili jike apateusingizi mzuri kwenye kajoto na kwa raha. Kwa kufanya hivi...
0 Reactions
4 Replies
529 Views
Back
Top Bottom