Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watoto wanakuwa kila mwaka hawawezi watoto wadogo daima. Yale mambo ya kizamani ya kuchapa watoto wakikutwa wanashiriki tendo nilidhani yalishaachwa baada ya jamii kuelimika kumbe mpaka leo yapo...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
🚀 Hakika teknolojia inakwenda Kasi sana si unakumbuka ilikua unaenda hospital na dokta anakuagiza umletee sampuli ya mkojo kwa ajili ya uchunguzi kujua kinachokusumbua ni nini !!! ⚙️ Lakini...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Hili ni Shairi la Mshairi Bora Wa Taifa Mwaka 2025 na mshindi wa Kwanza Wa Tuzo Ya Taifa Ya Uandishi Bunifu Bwana Daruweshi Mkulu Wanyika anasema hajaona kizuizi kushiriki uchaguzi . Je ni kweli...
1 Reactions
2 Replies
192 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bodi ya Ithibati ya Wanahabari haitasita kuwafutia usajili waandishi wa habari watakaokwenda kinyume cha kanuni na maadili ya kazi zao. Msigwa...
2 Reactions
4 Replies
542 Views
Baada ya hapo, ni wazi watamlenga Rais wa TEC Wolfgang!! Mkikaa kimya, Wahuni watautangaza uongo wao uwe mkubwa sanaaa ili Jamii iuamin ionekane kua 'Alikua kalewa '. Niwashauri TEC , kabla...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Kuchelewa sio nadharia bali kupo ila inatakiwa udhibiti hisia za kuchelewa ili usijipoteze zaidi Zipo sababu nyingi zinafanya watu wachelewe ila bila kujali kuwa ulicheleweshwa au ulijichelesha...
8 Reactions
13 Replies
693 Views
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli moja wamepitisha kwa kishindo Bajeti ya Ofisi ya Wizara kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi bilioni 224.98 kwa ajili...
1 Reactions
0 Replies
273 Views
The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles /...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
WIZARA ya Madini kupitia Tume ya Madini imefanikiwa kukusanya jumla ya Shilingi 726,219,317,398.14 ambapo Shilingi 612,593,046,886.50 ni malipo ya mrabaha na Shilingi 113,626,270,511.64 ni malipo...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio...
3 Reactions
31 Replies
948 Views
Mambo yanapoelekea ni kama kuchanganyikiwa kwa Rais kulazimisha kukubali kuwa CCM ni tatizo na yeye ni tatizo. Walimu wamedai haki yao muda mrefu ila kama yakipuuzwa sasa wakaona wakifanya hivi...
3 Reactions
8 Replies
865 Views
Hellow! Hili limesababishwa na Nini? Kama huamini, nenda kituo Cha polisi halafu switch language uone kama utahudumiwa kwa haraka, Je, Nini kifanyike kuondoa Hali hii? Karibuni 🙏
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Mkoa wa Kigoma ni moja wa mikoa ilioko nchini Tanzania na ni mkoa pekee mwenye kubeba jina la tanzania hii,.mkoa huu ni mkoa uliobarikiwa vipaji mbali mbali na ndio mkoa pekee unaoitambulisha...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wakuu! Jana nilibahatika kupita mitaa ya hapa Singida Mjini kuna sehemu wanaita Kirima, yaani hapo nilikuta malaya wamejipanga wakiwa wamevaa hovyo wengine chupi, boksa, in short yaani ni...
29 Reactions
256 Replies
35K Views
Kuna somo linaendelea sasa hivi kuhusiana na ugonjwa wa kisukari. Nasikitika kwamba mtaalamu mliyemuweka kufundisha somo hilo,anatumia rejea ya elimu za kizamani sana ambazo zimepitwa na wakati...
0 Reactions
0 Replies
255 Views
PETITION TITLE: Stand with Tanzanians: We Need Protection from State-Driven Oppression PETITION BODY: We, the people of Tanzania, both at home and in the diaspora, submit this urgent petition to...
3 Reactions
6 Replies
623 Views
Ukipita barabara hiyo hupati utulivu wa safari barabara haijatulia yani chombo chako cha usafiari hakitatulia kwakuwa barabara si smooth halafu nyembamba.Hali hii inaweza kupelekea kuasababisha...
1 Reactions
19 Replies
635 Views
Back
Top Bottom