Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hatimaye BBC wameokoteza habari kuonesha kwamba hata bara la Afrika lilishawahi kutoa papa. Hii inaua hoja kwamba, safari hii Papa atoke Afrika. Ikiibuka hoja ya kutaka Papa Mweusi, tutasema huo...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu habari, iv hawa nmb nikiraka kuwafanyia umafia na kunilipa usumbufu nawafanyaje? Ni hivi, nilikuwa nadsiwa mkopo ambao ulikuwa unaisha mwezi wa kumi na moja, maana si huwa wanakata kwenye...
0 Reactions
3 Replies
405 Views
Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu...
4 Reactions
4 Replies
436 Views
Kama Mungu ametuumba na nywele za kichwani, za kwenye kwapa na za kwenye sehemu za siri(pubic area) sasa tunazinyoa ili iweje? Huku sio kama kumkosea nini au nyie mwaonaje? Kama mwanadamu unatoa...
2 Reactions
10 Replies
413 Views
Katika nyakati tofauti Nape Nauya amelishawai kutoa kauli zenye utata kwenye Taifa letu lakini hakuna hatua yoyote yenye uzito alichukuliwa. Mfano tutashinda Kwa goli la Mkondo( 2015) Pia...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi. Mabio...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) yanaendelea Jijini Arusha ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, leo Aprili 29 kwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa kweli hotuba hii imeniamsha mori ya kwenda kwenye boksi la kura. Mitano tena kwa Rais wetu wa nguvu. https://www.youtube.com/live/OOFCHFL39sM?si=4aZmiAbYOV6DDuv8
7 Reactions
79 Replies
5K Views
Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli. Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
2 Reactions
2 Replies
275 Views
Economic Hitmans: tunapaswa kufahamu ni watu wanaolipwa Fedha nyingi sana ili kushawishi Nchi maskini Kukubali miradi inayoleta maendeleo machoni kwa watu lakini Kudumiza maendeleo ya Nchi...
1 Reactions
2 Replies
357 Views
Majibu na Maombi ya Ukaazi wa Kudumu katika Nchi ya Marekani: US Green Card | Diversity Visa Lottery | United States of America. 2024 na kuendelea! Leo 4th May 2024 saa moja usiku, kwa saa za...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
MFANYABIASHARA Maarufu anayemiliki vituo vya mafuta jijini Arusha, Maganga Lago anatuhumiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mfanyakazi wake wa ndani aliyetajwa kwa jina Moja la Teleza raia wa nchi...
3 Reactions
60 Replies
4K Views
Hii nimeizungumzia sana sana hapa na kwenye baadhi ya vilinge nje ya hapa. Pia wadau wengi wamekuwa wakiifafanua hapa na nje ya hapa pia. Nia na lengo ni kulishana taarifa sahihi. Sasa kwa wale...
1 Reactions
4 Replies
533 Views
Mnamo kwaka 2023 Mh waziri alitembelea hili eneo hilo akasikiliza kero sugu ukosefu wa maji kinyerezi. Aliamua kushughulika na meneja. Waziri kwenda na pamoja na uweponwake hakukuwa na Maji...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Jamani hebu tuwe real kidogo... tusiwe wanafiki walahi! Hii sekta ya utalii na utamaduni imeingiliwa na watu wa ajabu ajabu, yaani watu wa mtaani wanavua magwanda ya boda boda, kesho unamkuta...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Asanteni naomba msaada wa mawazo, kwa sasa nina saloon, lakini pia ni mtumishi wa sekta binafsi nina komputa pia lengo nifanye library, nisaidien mawazo asanteni.
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Mahojiano na Padri Chesco Msaga Naibu katibu Mkuu wa TEC baada yakwenda kumtembelea Father Kitima baada ya kushambuliwa Padri Chesco amewahimiza Watu kumuombea Fr. Kitima ili arejee katika hali...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Boniface Mwabukusi. Rais na TLS ameandika kupitia ukurasa wake wa X: "Nimemtembele Father Dr. Charles Kitima. Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha. Mungu ni mwema sana...
22 Reactions
46 Replies
4K Views
Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu...
2 Reactions
8 Replies
434 Views
Tokea kupata uhuru ni serikali ya CCM ndio ipo madarakani, hakuna serikali nyingine mnayowadanganya wananchi kuwa mkinichagua mimi nitaleta maendeleo. Kitendo cha Waziri wa Kilimo Bashe bila...
0 Reactions
4 Replies
432 Views
Back
Top Bottom