Nilienda kununua mafuta ya kura na nilihitaji mafuta ya Alizeti maeneo ya Sabasaba, baada ya kufika kwenye hilo duka la mafuta na lina mchanganyiko wa bidhaa za chakula, alitoka msichana na...
Ushabiki wa kisiasa pembeni, nafikiri mahojiano haya yametupa taarifa nyingi mpya za maisha binafsi na ya kifamilia ya Hayati Magufuli ambazo zilikua hazifahamiki hapo kabla.
Kipi umejifunza...
Uzi umeanza kwa swali, leo asubuhi nilikuwa naangalia kipindi cha ushauri wako Strar TV kinaendeshwa na dada mmoja Rebecca Mlesi, nimesikitikana sana kuona mzee wa miaka 54 ana watoto wanne wadogo...
Mimi napenda kuuliza maswali ili niweze kujua na kufahamu zaidi ili ikitokea nami nimeuulizwa basi nijibu kwa ufasaha na kwa uzuri.
Bibilia inatukumbusha na kutuamru kushukuru kwa kila jambo...
Wananchi tunaotumia barabara ya Mbande- Msongola tunapata changamoto kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kwenye kipande cha Mbande Kisewe kutokana na Mkandarasi anayejenga njia kuwa kuwa slow, ni...
Agosti 16, 2017 jiji la Dar es Salaam na dunia kwa ujumla lilipokea taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Wayne Lotter, Mkurugenzi wa Taasisi ya Protected Area Management System (PAMS)...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa na mifumo bora ya usalama na afya ya wafanyakazi, wateja na jamii...
Tuhimize watu Wakubali turudi kwenye Maandiko ya Mwenyezi Mungu kila Mtu kwa imani yake .
Aliye Mnafiki aambiwe ni Mnafiki
Aliye na Ukafiri wa kukiuka viapo aambiwe wewe ni Kafir
😳😳
Kwa sababu...
Yeah ni tar 1/05/2025
Kwanza utegemee mabango ya Pongezi na nyimbo za kusifia kwa 100%
Baadae utasikia tumeongeza mishahara, tumelipa madeni na TUTAENDELEA KUBORESHA MASLAHI..
kisha watapiga...
Mwakilishi Mkazi wa UNDP Tanzania, Shigeki Komatsubara (katikati) akizungumza kwenye mdahalo uliofanyika wakati wa kutangaza msimu mpya wa Wiki ya Ubunifu sambamba na mkutano wa Future Ready...
Mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi
Haijaandikwa kwenye biblia
Mungu wa wanasiasa
Niyapongeze majeshi kwa kazi zao nzuri .
Kwa vile mwenyezi mungu ni mungu wa majeshi naomba niyaombe majeshi yetu...
Ninatambua mchango wenu mkubwa katika kudumisha amani na haki nchini. Hata hivyo, nawaomba muache kabisa kutoa kauli zinazobeba viashiria vya uchochezi wa kuamsha hisia za kidini. Kumbukeni ninyi...
Wakuu naomba kwa anayejua kama kutumia VPS hapa Tanzania ni lazima nipate kibali TCRA kama ilivyo kwa VPN. Nataka nilipie proxy server huko ughaibuni. Nilishatumia miaka ya zamani sielewi kama...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi huu umeletwa kwa wenye hekima na tafakuri ya kina wakiwemo Wanazuoni
Kwanini waruhusiwe kwenye nchi takatifu ya Maka na Madina kama ni kweli wamekuwa wakitoa kauli...
Wanaume WENGI enzi hizi wanaishi kwa machungu na sonona za hali ya juu kutokana na kutowaeelewa wanawake na tabia zao halisi.
Wakati wasichana wakipewa taadhari juu ya uongo wa wanaume, wavulana...
KAMA HAIKUHUSU ACHANA NAYO
“Kwa maana Kristo alitufungua ili tuwe huru. Simameni basi msiweke tena shingo zenu chini ya nira ya utumwa.” — Wagalatia 5:1
𝗧𝗔𝗙𝗔𝗞𝗔𝗥𝗜 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗙𝗦𝗜 — 𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗟𝗘𝗢
Ndugu...
Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa.
Askofu...
Ndg wanaJf,
Nahitaji kujua kiwanja chenye ukubwa huo kinaweza kuingia Room tatu na Choo nje na sehemu ya kupaki gari ndogo.
ushauri wadau kabla Sija Prove kununua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni huzuni pia hili tukio ni linatufundisha kitu kwa wale mnaokula kula wake za watu na kuweka kambi kabisa huku mume halisi wa mke akiwa bado yupo.
Hili tukio limetokea siku ya jumapili huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.