WaTanzania wanajivunia weledi, umakini, uaminifu na uchapakazi wenu katika kuwatumikia bila kuchoka, bila kukata tamaa na bila upendeleo wala ubaguzi. Wanachi wanashauku na imani kubwa mno kwenu...
Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru...
Najiuliza maswali haya:
Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee?
Maria yuko wapi kwa sasa?
Kuna ushahidi gani wa...
Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa...
Mwanasheria mmoja alimuuzia kisima cha maji mwalimu. Lakini baada ya kupita siku mbili, mwanasheria yule alirudi kwa Mwalimu aliyemuuzia kisima na kumwambia:
"Ndugu, nimekuuzia kisima; ila siyo...
Habarini,
Katika muongo huu Afrika inasimama tena na kutaka uhuru wa kweli na kupinga viongozi/manabii wa Afrika kuuwawa tena kwa maslahi ya wazungu.
Kila kiongozi mwema wa Afrika atakayeuawa...
Leo Manispaa wamekuja dukani kwangu kukagua Leseni ya biashara. Hiyo ninayo,lakini wakaniambia Sina Service Levy. Nauliza nini maana ya Service Levy? Inamaanisha nini ijapo nimeilipa.
Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,.
Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc
Directly, hawawezi kuku-affect...
Watu wote wenye vyeti vya zamani vya Typewriter, kabla ya kufanya uhakiki hakikisha unabadilisha cheti kwa kufanya maombi kidijitali kupitia mfumo wa eRITA, kwa kuomba huduma ya OLD to New na...
Habari wasee. Kwenye kupitapita youtube nimekutana na hii kitu ya False Prophet nikasema nishare na wana wa JF wapate kujifunza namna ya kutambua huu utapeli ambao ndio habari ya town kwa sasa...
Wana JF,
Wengi sisi ni wafanyakazi sehemu na idara mbalimbali. Kesho ni siku yetu ya kufurahia na kukumbushia haki zetu.
Kama mfanyakazi ni kitu gani kinakufurahisha kwenye kazi yako.
Kwa mimi...
NAIBU Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa.
Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati...
Mahakama ya wilaya ya Maswa,mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Ngudu wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza,Jumanne Clement(23)kwa kosa la kubaka,kumpa ujauzito na kupoka...
Nilidhani wahaya wangefanyia tamasha hili mkoani kwao ili wapaone palivyochoka. Lakini wameamua kukaa Dar wakiangalia jiji linavyopendeza, huku makwao pakiwa choka mbaya.
Ilikuwa ni fursa kwao...
Wanawake wanaruhusiwa kuwa Maaskofu(Waangalizi).
Ushahidi huu hapa:
1 Tim 3:1-10
"Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema."
Kama una hoja za kupinga mwanamke kushika...
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza inaruhusiwa kujenga Hospital binafsi na kutoa huduma ya Afya bure bila gharama yoyote kwa kila mtu mwenye changamoto. Nauliza swali, je kwa nyinyi Serikali...
a
Aprili 29, 2025, kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma ambapo Jeshi la Polisi lililazimika kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.