1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia...
Nikiwa Rais watoto watafundishwa mashuleni kwamba solar system ina sayari nne na sio vinginevyo na itakuwa ndo mwisho wa nadharia kwamba solar system ina sayari tisa
Nikiwa Rais wa Tanzania serikali yangu itawezekeza kwenye maeneo matatu na naamini baada ya mda kama nchi tutakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 100 sawa zaidi ya Shilling Trillion 200...
Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje”
Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Eric Kirumba Akichangia Bungeni Jijini Dodoma Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali, Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameiomba Serikali...
Na Mwandishi wa Habari Hub
Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) imeungana na jamii ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani Mei 3, 2025, kwa kutoa...
Wadau kwema?
Iko hivi hatua za ukuaji wa mtu huanzia stage ya utotoni hilo linaeleweka. Lakini stage hii ya ukuaji , ni sehemu iliyo sensitive sana kiasi kwamba ikiathiriwa kwa namna yoyote ile...
Malalamiko Kuhusu Mahakama ya Mwanzo Saragana-Musoma Kudai Pesa ya Kusafirisha Watuhumiwa Kwenda Rumande Musoma Mjini
Naomba nitumie fursa hii kuwasilisha malalamiko yangu kwa mamlaka husika...
Na: Nihifadhi Abdulla.
Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda inayolinda haki ya uhuru wa habari. Hata hivyo, hali...
Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah...
Katibu Mkuu wa chama Cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), mwalimu Kapange, amesema amechukizwa na Risala ya TUCTA ambayo ilikuwa imekaa kichonganishi kwa kumtaka Rais Samia...
Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii.
Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika...
Katibu Mkuu wa Chama Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA),Mwalimu Meshack Kapange, amempongeza Rais Samia kwa kuongeza mshahara, jambo ambalo litaleta nafuu ya maisha kwa...
Hiki kinachofanyika ni kama kuwafanya waandishi waandike habari ambazo watawala wanataka kuzisikia na zile wasizoitaka isichapishwe. Hii inahatarisha mustakabali wa waandishi nchini.
===
Wizara...
Leo Mei 6, 2025, JamiiAfrica inazindua ushirikiano na IMS na UTPC wenye dhima ya “Kuwawezesha Wanahabari kwaajili ya Jamii yenye taarifa sahihi Tanzania.”
Kupitia ushirikiano huu, Wanahabari...
Salam wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba msaada jinsi ya kusoma hizi Mita maana muda mwingine nahisi wananibambika bili.
Matumizi ya kawaida tu ya maji na hapo ni familia ya...
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), Mwalimu Meshack Kapange, amesema kuna baadhi ya wanasiasa hawajui hata maana ya siasa. Katibu ameyasema hayo...
Ukiwa kijana unahitaji kufahamu haya mambo mawili 1. Kujua fursa 2. Kukubali kubadilika , kama mzee unahitaji kitu kimoja tu maishani 1. Utulivu , pesa inapatikana penye kundi kubwa la watu (...
Anaamka mtu na pombe zake kichwani na kutamka eti, tuna Rais katili sana, nacheeka sana, wanasahau ya kwamba, hata mikutano yao ilizuiliwa, wengine walipasuliwa mifupa, wengine walikimbia nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.