Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi...
Hii biashara nimegundua inaendana na mm!!
Nipeni tips naanzia wap
Taarifa kama
Faida na hasara
Kodi yake serikalini
Changamoto
Process za usajili nk
yaan A to Z
Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi...
Wakuu natoa kero yangu katika mkoa wa Arusha wilaya ya Arumeru kwenye soko la TENGERU
Ni halimashauri wanajenga choo karibia na sehemu ya kuuzia nyama (BUTCHER) hivi kwel mamlaka hawakuona sehemu...
Kumekuwa na ongezeko la ushawisho wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa Bara la Afrika kupitia biashara, uwekezaji, na ushirikiano wa kiusalama na kujijengea nafasi kama mshirika mkuu katika barani humo...
Kwenye Safari ya Maisha, Kwenye Kila Jambo au Makubaliano lolote linaweza tokea mda wowote.
Usiamini Mtu yeyote katika Haya Maisha Jambo lolote linaweza tokea.
Kwenye huu ulimwengu wa Sasa ambao...
Kurugenzi ya Utawala na Rasilimaliwatu ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), imesema Rasilimaliwatu ni biashara inayowezesha kwa kuleta mfumo wa kushirikiana na idara nyingine katika kila jambo...
Kwetu tanzania ukimtukana mtu tusi yanaweza kuisha mkaombana misamaa ya 4R.
Ila jambo linakuja ni lile la kuelewa ukweli kama umetoa rasmi tusi pro max.
Ili nimeliona hata hapa JF wakebei...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya...
Waandishi mambo vipi,hapa nazungumza na wale wote ambao huwa tunaandika humu jukwaani,iwe topic yoyote na mambo yoyote yale na hasa hasa wale wataalamu wa itaendelea
Kwanza ifahamike kwamba ili...
Samahani ndugu zanguni,
Nina boss wangu ambaye namsaidia kazi za ofisini kwake,
Ila shida ni ukali pamoja na kunisema mbele za watu yaani wateja,hii tabia inanikera na naumia sana.
Kazi...
🔥 Mimi ni Simba damu, lakini leo nasema:
Yanga, komaeni! 👊
Tuone TFF na Bodi yake wanakimbilia wapi...
🏃🏽♂️🏃🏽♂️
Jicho kwa jicho – hadi mtekenyo wa mwisho! 😤👁️👁️
⚖️⚽ Hii siyo tu mechi, ni...
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla...
Tanzania na Malawi zimeamua kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kibiashara baada ya kumaliza mvutano wa kibiashara uliodumu kwa siku kadhaa, kufuatia marufuku ya uingizaji wa bidhaa...
Habari wadau.
Wafanyakazi wa wasafi walalamika kucheleweshewa mishahara yao. Huku bosi wao akionekana nigeria akitunza mamilioni ya pesa. Baada ya kutunza harusini Aliingia club na kugawa dola...
SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya...
1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.