Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya...
0 Reactions
2 Replies
314 Views
1. Ushahidi wa Kiakiolojia (Archaeological Evidence) Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kiakiolojia (mabaki ya majengo, maandishi ya kale, nk) unaothibitisha kwamba mtu anayeitwa Ibrahim alifika...
3 Reactions
7 Replies
751 Views
Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana. Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea (...
13 Reactions
190 Replies
8K Views
JAmaaa kwa sasa ktk mtandao fln ndie anatumika kuwavua watu nguo na kuwadhalilisha kwa kucheza na ARTIFICIAL INTELEGENCE Sasa hv kila binti au mtu anaogopa kupost picha yake kwani wapwa...
4 Reactions
7 Replies
874 Views
If foreign markets don’t trust the US gov’t debt instruments what gov’t do they trust more. 1. United States. • GDP (2023, nominal): ~$25.5 trillion (world’s largest economy). • National Debt...
1 Reactions
5 Replies
534 Views
Wana JF, Nawaombeni msaada kuna shida moja tunahitaji ufumbuzi wa tatizo lililopo, naomba msaada kwa wanaomfahamu MGANGA BINGWA ambaye sio mbabaishaji pale MAKETE huko njombe atuasidie hata kama...
9 Reactions
102 Replies
26K Views
Habari za wakati huu wakuu. Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje. Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi...
10 Reactions
176 Replies
4K Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha...
1 Reactions
7 Replies
835 Views
Dondoo za maisha: 1. Usiwakopeshe ndugu zako. Wasaidie. ¹ Ndugu zangu wapendwa katika jamvi hili adhimu la JamiiForums nawausia, usimkopeshe nduguyo, msaidie. ²Kuna ndugu wazandiki wenye husda...
34 Reactions
73 Replies
5K Views
Demokrasia ndani ya Afrika ni nyenzo ya ukoloni mamboleo. Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini mabepari/ mabeberu hupenda sana kuona nchi za Afrika zikizingatia demokrasia na haki za binadamu? Na...
19 Reactions
205 Replies
22K Views
1. Tuishi kwa kutanguliza familia mbele. Marafik, ndugu wa mbali na majirani ni nyongeza tu. 2. Ukiondoka hapa duniani watakaoathirika zaidi ni familia yako (mwenza na wanao). Hao wengine...
4 Reactions
11 Replies
621 Views
Nimeshangaa kusikia NIDA inayohusika na vitambulisho inaanzisha msako wa stetionary ambao wanatengeneza vitambulisho copy. Swali ambalo la kujiuliza hawa mnaokwenda kuwasaka hata mfumo wa server...
4 Reactions
8 Replies
794 Views
Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi...
29 Reactions
205 Replies
11K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ametangaza vita na 'vigogo' ambao wameifanya Hifadhi za Misitu ya Kazimzumbwi iliyopo katika Hifahi ya Pugu pamoja na Kisarawe kwa ajili ya masilahi yao...
1 Reactions
6 Replies
453 Views
JE, TEKNOLOJIA INATUIMARISHA AU INATUFANYA TUWE WAZEMBE? Teknolojia imeleta maendeleo makubwa, lakini pia imeibua changamoto. Inawezesha maisha rahisi kwa kurahisisha kazi, kuongeza ufanisi, na...
0 Reactions
1 Replies
311 Views
Nikitazama tamasha la Samia Kalamu Award, mwandishi na mtandazaji wa Mbeya Highlands FM , ndh Issakwisa Mbyale, amepata tuzo kitaifa. Toka naifahamu Radio hii imekuwa ya mfano kwa mikoa ya Mbeya...
2 Reactions
4 Replies
392 Views
Kutii Mamlaka za dunia ni Baraka. Warumi 13:1-14, iwaongoze, 13:1 Tit 3:1; 1Pet 2:13, 14; Dan 2:21; 4:17; Yn 19:11Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna...
0 Reactions
33 Replies
1K Views
"Hawataki kutuona tukiungana wanachotaka tufanye ni kuendelea kugombana na kupigana Hawataki kutuona tukiishi pamoja wanachotaka tufanye ni kuendelea kuuana..."By Prophet Bob Marley WAKE UP...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha...
0 Reactions
11 Replies
919 Views
Back
Top Bottom