Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha...
0 Reactions
11 Replies
919 Views
JamiiForums imenifundisha mengi kwanzia mambo ya kimaisha, uchumi, kidini, kimahusiano na vyote niwashukuru wote walioleta mchango humu na tuendelee kudumisha umoja na mshikamano. Asanteni.
3 Reactions
5 Replies
371 Views
Made in Tanzania ukitoa plastic na majembe ya mikono
5 Reactions
57 Replies
2K Views
Kwa sababu all this has been predicted long ago. They will go through the motions and will choose Pietro Parolin He is a very, very serious person, something which may very well cause him to be...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kituo cha Redio cha Taifa 'TBC Taifa' na kituo cha Runinga cha TBC1 wachaguliwa kama vituo bora vya maudhui ya Redio na Televisheni kama washindi wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025. Soma...
3 Reactions
8 Replies
766 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evance Mtambi, amewaagiza wananchi wa Kijiji cha Nyatwali, Wilaya ya Bunda, kuhama mara moja katika maeneo waliyoishi baada ya kulipwa fidia na serikali ili kupisha...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Wakuu maisha kutoboa yataka moyo thabiti na mgumu kweli kweli. Nimejifanyia Audit nimegundua tsh 235,000 haijulikani ilitumika kwa matumizi yapi. Matumizi yangu ya muhimu nayakumbuka yote lakini...
6 Reactions
19 Replies
938 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), amezindua mradi wa 'Kuimarisha Ustahimilivu wa Bioanuai ya Misitu ya Mazingira Asilia Tanzania dhidi ya Athari za Mabadiliko ya...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
⚖️ Umoja wa Falme za Kiarabu umetangaza kuwa utatumia Al kusaidia kuandika na kusasisha sheria zake, na kuifanya kuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo. 💭 UAE imeunda chombo kipya cha serikali...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Nawasalim wote wakuu Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu .Dada angu anafanya kazi kwa wahindi za madawa (medical sales) dar es Salam. Kuna kampuni alikua mwanzo aliacha kazi baada ya boss...
1 Reactions
6 Replies
592 Views
Nkuruma,Lumumba,Magufuli,Sankara,Gadafi,Machel,Biko,Malangu,nk wamekufa kwa kuamini kuwa Mungu wa warabu na wazungu anawalinda. Kiukweli wazungu na warabu waliwapotosha Mababu na Mabibi zetu kwa...
3 Reactions
4 Replies
396 Views
Wadau wa JamiiForums, Ngoja niwanyooshee huu uzi straight kama line ya sare za jeshini, maana watu wengi bado hawajastuka kuwa lugha za kigeni ni life-changer. Si mapambo ya CV, si mbwembwe za...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
BUNGENI Serikali imepiga marufuku matumizi ya mashine aina ya msumeno mnyororo (chain saw) kutumika kukatia miti bila kibali kutoka mamlaka husika ili kupunguza kasi ya uharibifu wa uoto wa asili...
0 Reactions
10 Replies
628 Views
💡 Hakika Maendeleo ya Teknolojia yanakwenda Kasi sana, kampuni ya Airtel Africa imetangaza makubaliano na kampuni ya SpaceX ya Elon musk kuleta huduma ya intaneti ya satellite. 💡 Ni intaneti...
3 Reactions
0 Replies
309 Views
China inajulikana kwa kuwa kiongozi katika maendeleo ya teknolojia, na moja ya maeneo ambayo wamekuwa wakifanya juhudi kubwa ni katika mtandao wa 5G na sasa wanazungumzia maendeleo ya 10G. Hata...
1 Reactions
1 Replies
592 Views
wakuu, kwa mtindo wa ukamataji wa jeshi la polisi, ni wazi kabisa wanakaribisha matendo ya kiharifu nchini, maana huwezi kuwa na uhakika kuwa huyu ni askali polisi kweli au kibaka. Nadhani , ni...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Heri ya Siku ya Wafanyakazi Duniani
1 Reactions
4 Replies
310 Views
Sasa hivi watu wanashangaa bro, mtu kasoma PCB halafu leo anashughulika na wildlife management and tourism—wanabaki wameduwaa kama vile maisha ni formula ya chemistry. Lakini ukweli ni kwamba...
18 Reactions
63 Replies
3K Views
Kama Kuna Watu wako hatarini kutoweka ni wanaume halisi.....jamaa kapokea kipondo heavy baada ya kushindwa kulipia huduma ya dada poa. WENYEWE WAJITETEA KUWA NI MAIGIZO, SIO UHALISIA. JAPO...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
Kuna kama upepo hivi sio mzuri..nimekutana na cases nyingi za Watu wakilalamika kuumwa kifua na mafua. Watu wanaumwa sana,binafsi Leo siku ya tano ndio kidogo nahisi nafuu ila hali ni mbaya...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Back
Top Bottom