Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HABARI WAKUBWA MSTARI KUTOKA MIKA 7:5 Msimwamini rafiki, msimwekee kiongozi tumaini; ilinde milango ya midomo ya kinywa chako ili mkeo alalaye kifuani mwako asijue habari. 🙏
3 Reactions
5 Replies
460 Views
Moja kati ya taasisi ya ajabu nchini ni Tanesco,uchunguzi wangu niliofanya nimegundua mambo yafuatayo! 1.Kuna mafundi au wahusika wanachezea umeme kama moto anavyochezea kibatari yaani wanakata...
0 Reactions
5 Replies
440 Views
Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na...
10 Reactions
156 Replies
5K Views
Kiwanja kipo mbali na mkoa ninaoishi kwa sasa. Nina mtu atakayenisaidia kupokea hela kwa ajili ya malipo, au ninaweza nikaweka kwenye akaunti ya muuzaji kama ataona sawa. Changamoto yangu ni kuwa...
0 Reactions
17 Replies
769 Views
Wadau hamjamboni nyote? Aulizaye ataka kujua kwani Kila taasisi imeguswa nashangaa hao wenzetu wapo kimya shida Nini? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
3 Reactions
34 Replies
1K Views
nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue...
7 Reactions
16 Replies
840 Views
Serikali ingejua bomu linalotengenezwa wangekuwa wanatoa vibali vya uhamisho immediately pale tu maombi ya huu uhamisho wa kubadilishana unapofika katika ngazi Yao. Maana mwalimu au mtumishi...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Mit 3:30 SUV [30] Usishindane na mtu bila sababu, Ikiwa hakukudhuru kwa lo lote. Wapo watu wanaweza wakawa mwiba kwenye familia zetu, kazi zetu, biashara zetu, ndoa zetu, huduma zetu, na maeneo...
8 Reactions
14 Replies
695 Views
Wakuu Taja miradi ambayo unahsi umetekelezwa na mbunge wa jimbo lako.
1 Reactions
6 Replies
246 Views
Wakuu System za malipo zinasumbua kuanzia transaction za lipa namba mpaka manununuzi ya Luku system zote zipo down Wakuu shida ni nini na TCRA wapo kimya
2 Reactions
12 Replies
683 Views
Dar es Salaam, Mei 6, 2025 – Kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya tokea kuanzishwa kwake, Benki ya CRDB imeandaa Kongamano la Wawekezaji jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Johari Rotana...
1 Reactions
0 Replies
506 Views
Elimu imekuwa kiini cha maendeleo ya binadamu kwa karne nyingi. Tangu enzi za shule za kifalme Misri na Uchina ya kale, hadi vyuo vikuu vya kisasa kama Harvard na Oxford, elimu imeendelea...
1 Reactions
6 Replies
523 Views
JINSI YA KUTOKA KWENYE KIFUNGO CHA MADENI Hii ni kwa wale walioko kwenye madeni tayari. 01.ONGEZA KIPATO CHAKO Hakikisha unaongeza uzalishaji wa kipato chako, tafuta somo linaloeleza Jinsi ya...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Hawa ni vijana wenzangu wanajitafta! Inchi imepanua sana wigo wa ajira kupitia sanaa! Serikali inatumia kila mbinu kuwainua vijana hata kwa motisha! Stand up comedy kuna vijana wachache sana...
16 Reactions
46 Replies
2K Views
Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa May 4, 2025 kuhusu kufuatilia na kuchunguza tuhuma zilizotolewa na Mwananchi (ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa) kupitia Mitandao ya Kijamii...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana...
2 Reactions
4 Replies
732 Views
O6 May 2025 Kiboroloni Mto wafurika na kuleta maafa mjini Moshi https://m.youtube.com/watch?v=kmQ_Uwh_r-g Mkazi wa Kiboroloni rastaman Kimambo aomba serikali inyooshe mto ili eneo hilo liwe...
1 Reactions
4 Replies
601 Views
GT. Ila Tanzania ujinga umetamalaki aisee imagine masaa kama haya radio bado inachambua michezo .game ya Simba na yanga. Hizi radio nadhani vijiwe vya kahawa aisee ina maana hawana ajenda...
21 Reactions
46 Replies
2K Views
TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote...
16 Reactions
50 Replies
2K Views
Back
Top Bottom