Wakuu polen kwa majukumu, naomba kuwajulisha changamoto niliyokutana nayo leo asubui, jana nimetoka nimeenda job, nimeacha elf 80 katika box dogo la mbao, leo asubui nakuta 20000, namuuliza wife...
Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.
Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025)
Dar es Salaam, 8 Mei 2025
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8...
Nimekuja kwenu leo, si kwa hasira, bali kwa msimamo wa mtu ambaye ametafuta ukweli katika Biblia na pia katika Qur’ani.
Swali hili linaibua mjadala wa kina kuhusu uungu wa Yesu kulingana na...
Kwema Wakuu!
Kila Mtu anamitazamo Fulani àmbayo Ipo kimoyomoyoni kuhusu Watu. Baadhi ya mitazamo hiyo ni potofu Mingine NI Sahihi.
Mimi mitazamo yàngu potofu niliyokuwaga nayo ni pàmoja na hii...
Oprah Winfrey aliwahi kusema,
"Hakuna kinachotutokea kwenye maisha yetu bila kuwa na faida. Hakuna kinachotupata, hata kiwe kibaya namna gani, kinachoishia kupotea bila faida."
Maisha huja na...
Uzi huu utumike kuonesha upande wa pili ambao Rais Samia pengine hauoni. Naamini huwa anapita humu jamvini na akiuona huu Uzi hawez acha kufungua.
Kwa upande wangu kama ningekuwa Rais Samia..
1...
A Soviet-era spacecraft has finally returned to Earth – 53 years after it was launched.
Kosmos 482, a Venus lander launched by the Soviet Union in 1972, reentered Earth’s atmosphere on May 10...
Kumuamini Mungu ndio risk (kujihatarisha) kikubwa kuliko vyote KWA mwanadamu wa kawaida.
Unamuamini Mungu kupitia maneno ya BIBLIA (wakristo). Na hautakiwi KUWA na ushahidi mwingine wowote wa...
Ni mtazamo wangu, na sababu kuu ni kwamba wanawaweza kufanya lolote bila uoga wa kufokewa, kutumbuliwa, wala karipio.
Awamu hii unaweza kuambiwa utaona , tutaona na ikatimia kweli, nawapa...
Mara baada ya standi ya zamani nyegezi kuhamishwa tunashauri manispaa ya nyamagana kutumia eneo la stand ya zamani nyegezi kwa ajili ya kutenga na kujenga hospital kubwa Nyamagana
Kwani Hospitali...
Tangu watu waombe uhamisho wa kuhamia nje ya mikoa ki mfumo hadi leo kimya TAMISEMI shida ni nini au mko bize na maandalizi ya maeneo jimbo?
OR TAMISEMI
Habari zenu. Nina account mbili za miongoni mwa benki kubwa hapa nchini.
Kati ya hizo account mbili ni Moja pekee huwa naitumia mara Kwa mara Kwa kuweka na kutoa pesa.
Kuanzia mwezi April...
Kama askofu Millingo kampa mkenya uaskofu basi kwa Padri Felician Nkwera asiwasiliane naye ili naye apewe uaskofu.
Wanamaombi mnasemaje huko mlipo. Changamkieni hiyo tenda ili Nkwera awe askofu...
Habari za muda wakuu nauliza basi gani zuri la kutoka Dar kwenda Musoma kwasasa.
Na nauli zao zipoje?
Aisee nimepamis sana home wakuu miaka minne imepita sijaondoka humu jijini.
Ibrahim Traore ni kijana hodari aliyechukua madaraka ya nchi ya Burkina Faso mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 35 tu.
Traore ni mfano wa vijana wachache hodari wa bara la Africa.
Vijana ndio...
Msaada tafadhali.
Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa.
Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie.
SINA HELA ZAIDI...
Urusi wanaazimisha maazimisho ya kijeshi kama ilivyo kwetu na kuwaalika viongozi wa kubwa hapa Afrika.
Ila mwamba amekuwa habari ya mjini urusi kuliko viongozi wengine wa Afrika waliokuwepo...
Ni kawaida sana kwa watu kupatwa na stroke wakiwa kwenye vyoo vya majumbani kwao.
Lakini sio kawaida hata kidogo kukuta mtu kapatwa na stroke kwenye vyoo vya umma.
Kwanini Hali hii utokea hivi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.