RSM / Regimental Sergeant Major.
Kwa waliopitia JKT watakuwa wanajua uzito wa askari mwenye mamlaka ya RSM wa kikosi.
Kwa kawaida RSM ni askari mwenye cheo cha Warrant Officer II, au Warrant...
Nilitowa ushauri itolewe elimu madhubuti kuhusu madhara ya kutochanja mbwa,kuacha mbwa wanazurula na iwe kampeni maalum.Nimeumia sana 😭😭😭 mtoto wa miaka 15 amefariki leo kutokana na kuumwa na mbwa...
Ibra ameanza kuimba taarabu toka wiki ianze anasikika kwenye social media kuwa anadaiwa,ila kiuhalisia hawa jamaa naona wanataka kupiga pesa za watanzania kwa lengo la kukidhi mahitaji yao.
Kwani...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza...
Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake.
Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila...
Fikiria Mwijaku, alovujisha picha za ngono akimuingilia yule dada kinyume na maumbile, Hadi Leo Dada hayuko Kwa Raman, Mwijaku akaonekana Shujaa machon pa CCM Leo ndo anaongoza kusifiaaaa ...
Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi...
Utasikia kaugua ghafla, mara alipata mshituko akiwa kazini, mara kaanguka akiwa bafuni, mara alichelewa kumeza dawa zake za kisukari, etc
ukiuliza umri unakuta wengi ni between 55-65.
MORE LIFE.
Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi.
Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM.
Soma > Musukuma...
Kwa mtazamo wangu, Majeshi Yote Tanzania.
Jeshi linalopendwa sana na Watu Wengi ni Jeshi la JWTZ.
Walipopita Sehemu Lazima Watu Waonyeshe Furaha na Imani kwa Jeshi Lao.
Leo JWTZ walipofika Ktk...
USIRI NI NGUZO YA MAFANIKIO.
__________________________________________________
Si muda wote unatakiwa kueleza dhamira yako kwa watu unatakiwa kujua kuwa adui wa mtu ni watu. Sio ajabu yule...
Salamu Jamii!
Ninaomba ushauri wenu kuhusu mkopo wangu Vision Fund.
Nichukue nafasi kuelezea kilichotokea: Nilipoomba mkopo wa Tsh milioni 6 kwa Vision Fund Microfinance Bank
nilifatilia Kuhusu...
Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara tarehe 08 Mei, 2025 wametembelewa na Baraza la Famasi pamoja na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya.
Ufahamu kuhusu Baraza la Famasi...
Nimekuta hili Basi la Mafunzo la Chuo cha Usafirisha (NIT) likiwa limevamia maduka na baadhi ya pikipiki zikiwa uvunguni mwa gari hili hapa eneo la junction kona na mlima mkali Maji Chumvi...
TANZIA: Mtangazaji wa zamani maarufu na gwiji la kutangaza kandanda Ahmed Jongo amefariki dunia leo, Jumapili.
> Nguli huyo wa utangazaji wa Redio Tanzania kwa sasa TBC, alistaafu mwaka 2005 ...
Hii nchi sasa ni FUTUHI kama kamanda mriro NSSF umri anasema kuwa wale sio askari wake na video zinaonyesha naweza amini kuna baraka zote.
Mbona simu za wizi zina kamatwa au wale matapeli wanao...
Leo tarehe 05 Mei, 2025 Baraza la Famasi limeratibu zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu yake pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.
Kampeni hii imefanyika...
Nilikuwa nasikiliza maelezo ya huyu Sheikh anaeleza maana ya Los Angels mji ulioko Pwani ya Magharibi ya Marekani katika jimbo la California.
Sheikh anadai kuwa Los Angels maana yake ni Malaika...
Muktasari:
Miongoni mwao alikuwepo wakati Aweso akiwasilisha hotuba yake ya bajeti, ni Babu Ali ambaye ni mdogo wa Waziri huyo aliyeongozana na wanafamilia wengine kumsindikiza na kujionea tukio...
Jiuzi nilienda ofisi ya NIDA Kinondoni huko Kawe. Kisa mtandao wao kukata nilipoenda mara ya kwanza nilipaswa kuacha makaratasi yangu ofisini kwao. Niliporudi kupigwa picha na kuchukuliwa alama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.