Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

ampersand

JF-Expert Member
Feb 8, 2023
270
512
Heshima yenu wakuu, niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu.

Kwa kujitambulisha, mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X, kuna wakati Lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking alinispot na mimi naelekea hostel.

Akaniomba nimbebee makablasha aliyokuwa nayo mkononi, nikafanya hivyo hadi kwenye sehemu ilipopaki gari yake then akanisihi kuna kazi ipo pending ofisini ni msaidie kutokana na yeye kuwa na majukumu mengi, anafundisha hadi masters.

Akaniomba nimpe namba ili anitafute siku nikiwa nina ratiba loose nikafanye hiyo task. Kuna siku nikaona caller ID yake inapiga, nikapokea alafu akanieleza kama nipo free niende kufanya task aliyoniomba hapo awali.

Sikuwa na ratiba ngumu hiyo siku, nikamwambia naibuka muda si mrefu. Nilifika nikamkuta yupo peke yake akanipokea vizuri then akanipa task ya kujaza matokeo ya madogo kwenye excel. Nilimaliza kwa wakati, akanishukuru sana kwa kunipa pesa ya lunch nikataka nikatae ila alinisihi sana basi nikapokea 20k.

Baada ya hapo alijenga ukaribu na mimi, ni Lecturer alikuwa hana mazoea na wanachuo na alikuwa anaogopeka kwa ukali. Iliwashangaza wanadarasa kuona ninaweza kuongea naye hata kwa njia ya simu kumuuliza kama atakuja au lah!

Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili nikaona simu yake inanipigia, alikuwa ananitaarifu nifike ofisi kwake mara moja kisha nikafanya hivyo. Nilifika inaelekea kumi na mbili na nusu nikamkuta yupo ana type kwenye PC yake akavuta kiti nikae pembeni yake ili na mimi nitazame anachotype
Kwakweli niliingia na kauoga kukaa kando yake.

Akawa ananifundisha jinsi ya kuandika research, ikapita muda akazima PC then akanyanyuka kwenda mlangoni akafunga mlango hapo mapigo ya moyo yalienda mbio gafla, ila sikuwa na jinsi ya kufanya nimeganda nasubiria kitakachojiri.

Akarudi na kunitaka nimfuate usawa wa dirisha alipokuwa anatazama nje, baada ya kufika hapo akaniangalia kwa umakini then akaja kunishika matackle aisee sijui anadawa au nini nilikuwa nimeganda tu.

Akatamka fulani, una makalio mazuri kweli kweli, wakati huo alikuwa ameshaniachia nikamwambia nataka niondoke, akanisogelea akiwa ametoa simu mfukoni akanionesha simu banking ile app ya CRDB, akaniambia nakupa 3M sasahivi ukiweza kunipa nilichokishika.

Nikamwambia hapana, akaelekea kufungua mlango huku akinionya kwamba nisithubutu kumwambia mtu yeyote kile kitendo, alikuwa amefura sana ndani ya dakika chache.

Alipofungua mlango nikajikataa hadi hostel huku nikiwa nipo dilemma sijui la kufanya.

DILEMMA

Baada ya tukio lile hakuniita ofisini ila kuna siku baada ya kipindi aliniona akaniita nimfuate tukaenda hadi parking akaniambia nijitafakari kuhusu alichoniomba na nikumbuke yeye ndio mtu mwisho mwenye hatma ya matokeo yangu na nitakuwa naye hadi namaliza.

Hicho kitu kinaninyima amani saivi, hicho alichoniomba sijawahi kufanya, ni kitendo cha aibu kwa uanaume wangu na pia kiimani na kijamii haikubaliki. Nifanye nini bandugu?

Nakaribisha maoni yenu, I don't care kama atasoma hili bandiko au lah.
 
Heshima yenu wakuu

Niende moja kwa moja kwenye dilemma yangu

Kwa kujitambulisha,Mimi ni ME (23) nipo nasoma chuo X ..... kuna wakati lecturer akiwa ametoka kufundisha venue anaelekea parking alinispot na mimi naelekea hostel.

Akaniomba nimbebee makablasha aliyokuwa nayo mkononi, nikafanya hivyo hadi kwenye sehemu ilipopaki gari yake then akanisihi kuna kazi ipo pending ofisini ni msaidie kutokana na yeye kuwa na majukumu mengi, anafundisha hadi masters.

Akaniomba nimpe namba ili anitafute siku nikiwa nina ratiba loose nikafanye hiyo task. Kuna siku nikaona caller ID yake inapiga, nikapokea alafu akanieleza kama nipo free niende kufanya task aliyoniomba hapo awali.

Sikuwa na ratiba ngumu hiyo siku, nikamwambia naibuka muda si mrefu. Nilifika nikamkuta yupo peke yake akanipokea vizuri then akanipa task ya kujaza matokeo ya madogo kwenye excel. Nilimaliza kwa wakati, akanishukuru sana kwa kunipa pesa ya lunch nikataka nikatae ila alinisihi sana basi nikapokea 20k

Baada ya hapo alijenga ukaribu na mimi, ni lecturer alikuwa hana mazoea na wanachuo na alikuwa anaogopeka kwa ukali. Iliwashangaza wanadarasa kuona ninaweza kuongea nae hata kwa njia ya simu kumuuliza kama atakuja au lah!

Ilikuwa majira ya saa kumi na mbili nikaona simu yake inanipigia, alikuwa ananitaarifu nifike ofisi kwake mara moja kisha nikafanya hivyo.
Nilifika inaelekea kumi na mbili na nusu nikamkuta yupo ana type kwenye PC yake akavuta kiti nikae pembeni yake ili na mimi nitazame anachotype
Kwakweli niliingia na kawoga kukaa kando yake.

Akawa ananifundisha jinsi ya kuandika research, ikapita muda akazima PC then akanyanyuka kwenda mlangoni akafunga mlango hapo mapigo ya moyo yalienda mbio gafla ila sikuwa na jinsi ya kufanya nimeganda nasubiria kitakachojiri.

Akarudi na kunitaka nimfuate usawa wa dirisha alipokuwa anatazama nje, baada ya kufika hapo akaniangalia kwa umakini then akaja kunishika matackle aisee sijui anadawa au nini nilikuwa nimeganda tu

Akatamka fulani...... una matackle mazuri kweli kweli, wakati huo alikuwa ameshaniachia nikamwambia nataka niondoke, akanisogelea akiwa ametoa simu mfukoni akanionesha simu banking ile app ya Crdb, akaniambia nakupa 3M sasahivi ukiweza kunipa nilichokishika.

Nikamwambia hapana, akaelekea kufungua mlango huku akinionya kwamba nisithubutu kumwambia mtu yeyote kile kitendo, alikuwa amefura sana ndani ya dakika chache.

Alipofungua mlango nikajikataa hadi hostel huku nikiwa nipo dilemma sijui la kufanya.

DILEMMA

Baada ya tukio lile hakuniita ofisini ila kuna siku baada ya kipindi aliniona akaniita nimfuate tukaenda hadi parking akaniambia nijitafakari kuhusu alichoniomba na nikumbuke yeye ndio mtu mwisho mwenye hatma ya matokeo yangu na nitakuwa naye hadi namaliza.

Hicho kitu kinaninyima amani saivi, hicho alichoniomba sijawahi kufanya, ni kitendo cha aibu kwa uanaume wangu na pia kiimani na kijamii haikubaliki. Nifanye nini bandugu?

Nakaribisha maoni yenu, I dont care kama atasoma hili bandiko au lah.
Hakuna mwenye hatma ya mwanadamu, zaidi ya mungu pekee. We tulia skilizia mchezo
 
20230204_112528.jpg
 
Akaripoti wapi na ushahidi hana? Mwelekeze cha kufanya sio kila kitu cha kubeza, unaweza kuta ni mdogo wako au mtoto wako.

Mkuu, imagine mimi ndio victim namwagiwa matusi na kejeli zote bila kupewa muarobaini wa dilemma yangu?

Lakini naelewa social network users ( baadhi yao) wanatumia mitandao kutoa stress zao za kila siku kwa njia ya kutukana, kebehi etc
 
Back
Top Bottom