Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye maada, hivi ni Kwa nini kada ya ualimu inapewa salary kiduchu kulinganisha na kada nyingine au kazi yao haina direct impact kwenye jamiii? Naomba kuwasilisha
11 Reactions
107 Replies
6K Views
Pitapita yangu nikakutana na habari za huyu millard ambaye kwa sasa uwezi kumuona mambo ya ukweli yupo na kusubiri matukio tu. Nisioongee sana kwa mtu mwenye akili ya utanda wazi hapa kaunda nini...
0 Reactions
4 Replies
393 Views
Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha. mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe...
9 Reactions
28 Replies
953 Views
Habari wadau hili suala nimelivumilia ila nimeshindwa kulingana na masuala ya afya Wauza mabucha wa Mtwara wakitaka kufunga bucha wanafanya usafi wa kudeki. Kisha wanachukua spray ya kuulia...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Utafiti wa Finscope 2023 unaonyesha kati ya Watanzania 10 tegemezi na wasio na njia ya kupata kipato, saba ni wanawake. Wadau na wachumi wamesema bado kuna ombwe katika kupima mchango wa wanawake...
2 Reactions
9 Replies
619 Views
Tumsifu Yesu Kristo. Katika kipindi ambacho Kanisa Katoliki linakabiliwa na changamoto nyingi za kijamii, kisiasa na kiutamaduni duniani kote, uteuzi wa Kardinali Robert Prevost kama Papa mpya –...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ya Wakatoliki tumeshajua na yapo wazi kabisa Kila mwenye macho na masikio anashuhudia Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Kuzaliwa tanzania kuna changamoto nyingi sana.Haya yote yanafanyika na watu wenye upeo mdogo sana waliokuwa na madaraka makubwa. Zamani kulikuwa na taratibu kama unataka kwenda jeshini ilikuwa...
4 Reactions
9 Replies
866 Views
Fr Nkwera alianza kupata maono akiwa Chuo Kikuu Dar, alianzisha huduma ya maombezi. Aliomba kwa Yesu Kristo kupitia kwa mama Bikira Maria. Wagonjwa walipona na vichaa walirudi katika hali zao...
14 Reactions
116 Replies
32K Views
Mtaro wa Meli wa Stad, ambao kwa sasa unajengwa kwenye Rasi ya Stad magharibi mwa Norway, unakaribia kuwa mtaro wa kwanza kamili wa meli duniani—utendaji mkuu wa uhandisi wa kisasa. Mtaro huu...
2 Reactions
10 Replies
908 Views
Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu! ========== Your Gas Stove Might Be...
1 Reactions
6 Replies
591 Views
Habari za wikendi wakuu. Hivi karibuni nimehama mtaa niliokuwa nakaa, sasa kule nilikohama kuna kinyozi wangu mmoja ni fundi sana, nikifika nakaa tu sijielezi chochote, halafu ananipatia kweli...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Elon Musk tajiri namba moja duniani na boss wa Tesla huwapa masharti wanawake ambao anawabebesha mimba. Sharti la Kwanza kutotangaza mimba. Na kujifungua kwa njia ya opereshen C-section. Na kama...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama...
1 Reactions
9 Replies
614 Views
Wakuu, Kijana mdogo unakuta hana kazi yeyote, kwanza shule ameishia njiani, anarandaranda mtaani, stori za matajiri zote anazo, mpira, wanawake zote anazo ila ukimwambia kuhusu shughuli gani...
17 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs C. Mwambegele, kwa masikitiko makubwa ametangaza kifo cha Mjumbe wa Tume hiyo, Mhe. Jaji Rufani Mwanaisha A. Kwariko...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua...
1 Reactions
12 Replies
879 Views
Habari wanajukwaa! Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu. Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara...
8 Reactions
201 Replies
8K Views
Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
2 Reactions
2 Replies
331 Views
Back
Top Bottom