Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mshiriki maarufu aliyeimba kwa kutumia kujamba (flatulence) katika kipindi cha America’s Got Talent (AGT) ni Mr. Methane. Huyu ni mchekeshaji na mcheza maigizo kutoka Uingereza anayejulikana kwa...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Wanajamii mko fresh eee... Ebwana haya maisha ni noma sana, mambo yanachanganya na mengine yanachosha moyo. Baada ya kujitafuta sana kwa miaka mitano kwenye harakati mbalimbali, hatimaye leo...
79 Reactions
171 Replies
8K Views
Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za...
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani...
6 Reactions
15 Replies
941 Views
Baadhi ya waislamu kwenye mitandao ya kijamii wamekasirishwa na kutopendezwa na kitendo cha Hakimi kutosujudu Kwa kuifungia PSG goli la pili dhidi ya Arsenal kwenye nusu final ya UEFA champions...
6 Reactions
32 Replies
1K Views
TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT) Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Wajuvu wa mambo, hivi kuna utofauti na ufanano gani kati ya red cross na red crescent? Kuna magari yana msalaba mwekundi na mengine huwa na msalaba wa kijani ila hakuna green cross society wala...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Jeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata. Jeshi hilo limeomba mtu mwenye...
5 Reactions
200 Replies
65K Views
Hawa Red Cross wako dodoma kwenye event yao. Wanajitapa kutoa huduma kwa watu. Sasa mbona ukipeleka mgonjwa hospitalini mwenye uhitaji wa kuongezewa damu utalipia huduma hiyo wakati damu...
1 Reactions
8 Replies
410 Views
Habari zenu wakubwa! Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam TV, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi sio mtabiri ila najua wana JF mnaoishi Dar kama huumwi mafua saivi basi umeumwa wiki iliyopita karibu wote humu kikombe hiki cha mafua makali kimewakuta. Uzi tayari.
5 Reactions
23 Replies
807 Views
guest-1787677877
Nikutie moyo kijana unayepita katika majaribu. Inawezekana umemaliza chuo na huna ajira. Nikutie Moyo, kuna jamaa yangu kapata ajira akiwa na miaka 41 na sasa ni mtu mkubwa tu. We bado sana kwa...
5 Reactions
2 Replies
449 Views
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, ameeleza kuwa Mgodi wa Kati wa Dhahabu wa Magambazi uliopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga utaanza kufanya kazi rasmi ifikapo Julai 2025 na unatarajiwa kuleta...
1 Reactions
1 Replies
333 Views
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Weekend ya Leo nahitaji unipe mechi ngumu mno kutabirika. Nami nintaitolea utabiri wake hapa hapa hadharani Kwaushahidi wa kila mtu. Tuma mechi hiyo kwenye comment chini👇👇👇👇👇
1 Reactions
7 Replies
482 Views
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani...
1 Reactions
1 Replies
231 Views
Kuna kitu kinaitwa UPEPO wa MTU au UPEPO wako. Katika utafutaji kuna nyakati humfikia MTU na baada ya hapo kila anachofanya kinakubali yaani hakuna kukwama kwama wala kukwamishwa. Wengine hizi...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Ushauli na tiba ya maradhi mbalimbali kesi ngumu,mazindiko ya majumba,mapenzi na kusoma elimu za tiba kama unajimu na meditation. Unakalibishwa sana ofsini kwangu chamazi dar es salaam...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo? Africa kuwa na papa mweusi hiyo...
4 Reactions
24 Replies
930 Views
Back
Top Bottom